Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Urgent kama Kuna CO ambaye hajapata leseni ila procedure anaziweza vizuri Kuna kazi offer 250k,mwenye uzoefu mwaka mmoja akiwa na leseni offer 300k,uzoefu miaka miwili offer 350k, kituo ni zahanati mahali shinyanga,kwa mawasiliano zaidi piga 0626966039.NB
Jinsia inayohitajika hapo ni mwanaume ambaye hatumii kilevi aina ya pombe, mwanamke unaruhusiwa kama unajua kabisa huna mambo mengi.
Mwisho mwenye uhitaji tu ndo apige simu!
Asanteni sana!
 
🔈NAFASI ZA KAZI - MARKETING (2)
Sinon college of Education kinatafuta wafanyakazi wawili wa marketing
~Elimu iwe certificate au diploma
~Wajue computer
~Wawe wachapakazi

Ofisi ipo Kimara Temboni
Kwa mawasiliano zaidi 0715681720

Mwisho wa kupokea maombi ni 18/02/2025
 
WE ARE HIRING A MALE
TRANSLATORS
Wawe wanajua kuongea CHINISE AND ENGLISH vizuri
sehemu ya kazi GEITA
Watume Cv. cedim0103@gmail.com
NOTE; Kama ujui CHINESE usitume CV
 
Job title: Credit Auditor
Job location: Dar es salaam
Job summary. We are seeking a detail-oriented and experienced in Credit auditor to oversee all issues regarding credit in our company and ensure accuracy in reporting

Key responsibility
. Review the application credit report
.Overview of cross department collaboration and communication tasks
.scope of services related to credit products

Qualification
. Bachelor of Law
. Relevant working experience 1+Years
.High integrity
.Good communication skills

If you meet the above qualification, Please send Your CV to
kwmhrdp@keewaytz.com

Deadline 28.2.2026
 
B853532F-5033-4507-ADF1-2DA4B1C15D29.jpeg
 
Back
Top Bottom