Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

433A025B-8784-4124-B945-955894D69371.jpeg
 
AMANI WAREHOUSE T/A GEORGIA HOUSE

Tangazo la Ajira
Mahali: Dar Es Salaam

Tunatangaza nafasi za kazi zifuatazo:

1. Bartender (Mhudumu wa Bar)
2. Barista (Mhudumu wa Kahawa)
3. Chef (Mpishi)
4. Housekeepers (Mhudumu wa Usafi)

Sifa za Mwombaji:

a) Awe na Umri wa Miaka 25-40
b) Awe na Uzoefu wa Kazi wa Miaka 3 au zaidi
c) Awe Mchapakazi, Mwadilifu na mwenye Nidhamu
d) Awe na Afya Njema

Waombaji wenyw sifa wanatakiwa kutuma CV na nyaraka muhimu kupitia whatsapp +255658511132.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 23/02/2026.
Hii kazi nayo inahitaji CV? duuuh
 
Basi kuna mdada analipwa 100k kuuza duka la dawa, na ana Dip Pharm.
Kitaa kigumu weyeeee
Hapo lazima ananunue dawa zake kwa mauzo yako atumie duka lako kujikimu ,njia nzuri ni mkabidhi afnye kila kitu na kujilipa, kununua mzigo wa dawa, mpaka na kodi alipe yeye aweke tu kiasi fulani kwenye account yako labda kwa wiki au kwa mwezi
 
Hii mbinu kwa Bongo mbona mwezi na biashara inakufa. Yaani umpe uhuru mbongo? Si anakufilisi kabisaaa. LOL
 
Hii mbinu kwa Bongo mbona mwezi na biashara inakufa. Yaani umpe uhuru mbongo? Si anakufilisi kabisaaa. LOL
Nimefanya hivyo na sijaona mapungufu yoyote ndani ya miaka kumi sasa , huwa naingia nao mikataba
 
Kindly post for me:
Nahitaji an Admin officer:
Requirements:
1. Any diploma from a related field.
2. Good communication skills
3. Age from 22-30 years
4. Is flexible to do multiple tasks

Salary is: 200,000

Interested candidates should text 0713 330 803 (no calling) no later than 14th February.
Outdated post
 
Back
Top Bottom