Dada wako wa kazi unipe mimi?hao nao adimu, ntaulizia, fanya 70k nikupe huyu wangu ila mbishi😂
Ukipata hata wawili nipe namba zao, mshahara 60k kwangu hakuna kazi nguo za kufua ni za mtoto tu, hakuna kazi ya kuchota maji.Nakutania bana
mawasiliano hakuna mkuu
Nipate location iwe kuanzia ubungo hadi mlandiziMbona zipo nyingi mkuu
View attachment 3541464
ndio nilipata kipenz,,, asante kwa kujali mamilo🤗
😁 60 k maana yake 2000 kwa siku🤣🤣🤣🤣🤣 huu ni zaidi ya unyonyaji60k eneo sio Dar
Hafanyi kazi zote, akibaki nyumbani peke yake na mtoto itaongezeka.😁 60 k maana yake 2000 kwa siku🤣🤣🤣🤣🤣 huu ni zaidi ya unyonyaji
Kama ni mimi lazima nikuibie kila kitu 60k umenidharau sanaHafanyi kazi zote, akibaki nyumbani peke yake na mtoto itaongezeka.
60k ni hela ya kawaida kula kila kitu ni juu yangu bado akiumwa nimpeleke hospital.
Bei gani inatosha?Kama ni mimi lazima nikuibie kila kitu 60k umenidharau sana
Angalau 100 mpaka 200 kama utampa kila kituBei gani inatosha?
120 nitampa akibaki nyumbani peke yake na mtoto kwasasa atakua yupo na mimi hakuna kazi yoyote zaidi ya kuosha vyombo na kupika.Angalau 100 mpaka 200 kama utampa kila kitu
Nimemtumia dalali hapa mwanza ni mtu mzima mwaminifu tu kanipatia wawili huku kanda ya ziwa...ukiwa ready nikutumie namba zake...hana shida ni mtu poa sana...utampa kaposho amount utakayojiskia wewe baada ya kufikishiwa mtuUkipata hata wawili nipe namba zao, mshahara 60k kwangu hakuna kazi nguo za kufua ni za mtoto tu, hakuna kazi ya kuchota maji.
Naomba namba, AsanteNimemtumia dalali hapa mwanza ni mtu mzima mwaminifu tu kanipatia wawili huku kanda ya ziwa...ukiwa ready nikutumie namba zake...hana shida ni mtu poa sana...utampa kaposho amount utakayojiskia wewe baada ya kufikishiwa mtu