Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Seran hyo kampuni ya salasala inayohitaj madereva washapata watu? Kuna mtu yupo tayar ila alichelewa kupata taarifa na kuliona tangazo
 
Endelea kuleta kazi kk, hamna kazi ambazo vigezo sio vyeti
 
Endelea kuleta kazi kk, hamna kazi ambazo vigezo sio vyeti
Mbona zipo nyingi mkuu, marekebisho TZ-1
FB7B1199-6090-44E1-B865-0E5612375C30.jpeg
 
ANAHITAJIKA BINTI WA KAZI ZA NDANI MBWENI
MSHAHARA NI 200,000
KAZI NI KUKAA NA MTOTO
KULALA KWA BOSS
 
Kuna nafasi nyingine za ulinzi

Mshahara 170,000
Eneo Upanga
Nafasi 3

Eneo mbezi kwa msuguri
Nafasi 2


Mawasiliano 0781 802 661
 
Back
Top Bottom