Mimi mwenyewe natafuta dada wa kazi, unapost hapa jf tu au na mitandao mingine?ANAHITAJIKA BINTI WA KAZI
ENEO LA KAZI MBEZI BEACH
MSHAHARA 100,000
PIGA SIMU 0615786260
Mkuu hii umetuma lakini Haina namba za simu. Unaweza kutuwekea... Maana na Mimi nipo mbeya nataka niiombe hii kazi!Mbona zipo nyingi mkuu
View attachment 3541464