Samahani si kwa nia mbaya, hizi kazi zinazotangazwa hapa nimejaribu kumpa zaidi ya post 4 mtu ninaye mtafutia kazi (Niliweka na uzi wake humu) awatafute lakini namba hazipokei simu na kujibu sms.
Katika post kati ya 2 waliomba fedha kwa ajili ya kupatiwa nafasi. Kitu kingine nimekuja ku note namba zinazotolewa kwenye post nyingi ni za watu WALEWALE baada ya kuzipitia post nilizomtumia upande wa mawasiliano.
Swali: Mtu wa post ya bucha, hotel, kuuza juice nk kwenye maeneo tofauti ni boss mmoja?
Kama kuna utaratibu wa udalali ni vema wawajuze watoa post huku. Asante
Nawasilibaadhi ya nafasi zinazoletwa humu waletaji ni MATAPELI,na kwa kuwa Seran na Manyaza wao wakitumiwa Tangazo wanalipaste tu humu inakuwa sio kosa lao