Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Wanahitajika Haraka

Watu wa Sales & Marketing
•Jinsia zote
•Diploma au degree ya sales
•Nafasi-5

Madereva wa gari za zege
•Wajue kiingereza
•Leseni hai class E
•Nafasi-15

📍Masaki, DSM

Mshahara: 350k-450k

WhatsApp 0799 529 422
Au 0725110177
 
Anahitajika Mdada wa kuhudumia eneo la michezo ya watoto
📍Kigamboni

Sifa
-kidato cha 4 na kuendelea
-English aweze kuelewa na kuzungumza

Mshahara: 250,000 hadi 300,000

Makazi juu ya boss

Fika ofisi za ajira na biashara kigamboni au wasiliana nasi 0725110177
 
8480AE5D-94EE-4259-8634-7A370CE1D6CF.jpeg

Any one interested atume CV wa hii namba
+255767062996
 
💥URGENT
Anahitajika mhasibu wa Shule Ipo Chalinze,

Kwa wenye Certificate,Diploma ama Degree ya Uhasibu,Kwa Mwenye Qualifications Hizo Tu Anitumie CV yake Now.

Awe Chalinze ama Anaweza Kuishi Chalinze it's ok.

0756950817
ASAP!
 
Good day Team. We urgently looking to hire the below roles with respective qualifications;

1. Finance Manager - 4 Position
2. Project Accountant - 2 Position
3. Tax Officer - 2 Position

Location: Zanzibar
Employer : Infinity Developments. co. ltd

Apply: recruiting@infinitydevelopments.com
 
Tunatangaza nafasi 2 za walimu Kwa ajili ya kufundisha Darasa la 1&2 na middle class

SIFA ZA ANAYEOMBA KAZI:

Awe na uwezo wa kuongea lugha ya kiingereza kwa ufasaha.

Awe mchapa kazi .

Awe na uzoefu wa zaidi ya miaka 2.

Awe amehitumu elimu ngazi ya cheti, diploma au degree.

Awe wa jinsia (ke) tuu.

Awe tayari kuhamia karibu na kazi kama anatokea mbali kwani nyumba ya kuishi IPO atapewa .

INTERVIEW/USAILI UTAFANYIWA UKIFIKA SHULENI JUMATATU 21/09/2026 asubuhi

Mshahara ni maelewano baada ya interview.

Shule ipo KIVULE ILALA DAR ES SALAAM TANZANIA* .
Piga 0749212768.
Whatsapp:0692591119.
NJOO NA CV ZAKO SHULENI KUANZIA KESHO MAPEMA ULETE HARD COPY ZOTE OFISINI.
 
01C8D810-9CBE-4B05-9CC4-6706154C7509.jpeg

NAFASI ZA KAZI GARDAWORLD MWANZA,USAILI NI KUANZIA TAREHE 21-23/09/2026 WANAHITAJIKA WATU 60 KWA AJILI YA KUANZA KAZI TAREHE 01/10/2026.

KAMA UNA NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI,MSHIRIKISHE FURSA HII🤝

Wewe life255 kazi hii omba uache kujidekeza!
 
Nafasi za kuhudumia Juice
Nafasi(6)

📍Mwenge
Mshahara: 250,000

(Ni kuhudumia ndani sio kutembeza)
Wasiliana nasi
WhatsApp 0725110177
 
Nafasi za kazi zilizopo Unguja, Zanzibar

Wadada kazi ya uwakala nafasi tano (kukaa ofisini)
•Makazi na chakula wanapewa
•Mshahara makubaliano

Vijana wa kiume kwa ajili ya kufanya door to door sales kukopesha simu
•Makazi wanapewa
•Mshahara makubaliano

Wadada watatu (3) kuhudumia chakula mgahawani unguja
•chakula bure
•malipo 7k kwa siku

Vijana wa kiume na kike kazi ya ulinzi
•Mshahara 270,000
•Makazi bure

📞0725 110 177, 0799 529 422
 
Tunatafuta kijana mmoja wa kuuza genge la kisasa zanzibar

✅Umri: 20-25
✅Chakula bure
✅Mshahara: Tsh 150,000

📞0725 110 177, 0799 529 422
 
Back
Top Bottom