Una fani gani?
Mpe za uso mamnyong'ode keshazoea kudandia yasomuhusu mwana izaya huyu 😌😎😏Umekosa attention kote uko ulikohangaika, umeona uje uanze ule ujinga wako, ukifikiri tutapoteza muda na wewe! Nenda kaanzishe huko manyuzi yako tutolee wazimu wako hapa!
Nimekwama kimara kwa wifi 😎 kuna mvua za eliHebu usinichekeshe mie muda wa kulaza komwe huu kesho nikamtumikie caesar😂
Kinondon maeHizo mvua zinanyesha gaza tu sio😎
Kino ipi upo sho mambacho cc min -meMbona huku kukavu! Kwahiyo leo ni kutembeza dose tu sio?