Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

👨🏽‍💻VACANCIES: VERY URGENT
1.Accounts Manager
2. Procurement Manager

DUTY STATION: Vikindu
Deadline: Monday, 21th Sept, 2026

A Cement manufacturing company located at Vikindu has the vacancies indicated above.

Qualifications & Requirements
•Bachelor’s Degree in relevant fields
•Minimum of 2 years of experience in a manufacturing industry
•CPA qualification will be an added advantage for Accounts Manager position
•Good analytical and leadership skills

Send your CV and Academic certificates on whatsap 0653234010 before 4pm; Monday, 21th Sept, 2026
 
usipoteze muda na hilo jinga, lina kazi ya kuunda ma ids mia mia na kutafuta attention masaa yote! linapenda kiki hili lijinga likikosa huko kote linaanza kuzunguka upya as if forum nzima ndio linamacho peke yake ka senge!
Utumizi wa lugha chafu na matusi ndo kidhilisho tosha kuwa unacho kifanya hapa ni illegal na unatumia jukwaa kupata advantage

Nimekuuliza maswali ambayo unajua fika ni faida ya member humu halafu unaanza kurusha matusi na vijembe?
We jamaa huna akili.

MNAFIKI.
 
Nina Hakika kuna viumbe wanalizwa hela Kila kukicha humu
Hili ni shutuma kubwa sana.
Hebu toa ushahidi wa hii shutuma yako.

Kama unashutumu watu bila kuwa na ushahidi ni jambo baya.

Hawa wanaopost huku hawalipwi na huwa wakiwa wana apply kazi zao basi na wao wanarusha na hapa ili mtu ikimfaa aiombe.
na sidhan kama wana nia ya kuibia watu hela.

Hebu toa ushahidi.
 
usipoteze muda na hilo jinga, lina kazi ya kuunda ma ids mia mia na kutafuta attention masaa yote! linapenda kiki hili lijinga likikosa huko kote linaanza kuzunguka upya as if forum nzima ndio linamacho peke yake ka senge!
Huyu boya kuna namna inatakiwa adhibitiwe huu uzi asipate access ya kuuona au kuchangia kitu.

Maana ana ujinga mwingi mpaka kero, huu uzi ni wa maswala ya kazi lakini ishu anazozileta humu ni tofauti kabisa.

JamiiForums huyu wa kujiita Gunner11 anaharibu kila jukwaa , tunawaomba mmdhibiti asipate access na huu uzi
 
Hao hao ulio uwatag ndo wanapaswa kujua ukweli nimeuliza maswali ya msingi alafu wewe mpuuz unaanza kutukana matusi badala ya kujibu?

Kwanini mnapanic na msijue namna bora ya kuelekea watu

Acha ujinga na upumbavu wa kufikiri kila mtu humu jukwaani ni mjinga. Wewe ndiye ujinga maana unakosa busara za kuelewa umuhimu wa kile kilicho ulizwa
 
Huyu boya kuna namna inatakiwa adhibitiwe huu uzi asipate access ya kuuona au kuchangia kitu.

Maana ana ujinga mwingi mpaka kero, huu uzi ni wa maswala ya kazi lakini ishu anazozileta humu ni tofauti kabisa.

JamiiForums huyu wa kujiita Gunner11 anaharibu kila jukwaa , tunawaomba mmdhibiti asipate access na huu uzi
Ongea na boss kubwa asap afanye jambo la msingi, sijisikii kujibizana upumbavu na psychos!
 
Hili ni shutuma kubwa sana.
Hebu toa ushahidi wa hii shutuma yako.

Kama unashutumu watu bila kuwa na ushahidi ni jambo baya.

Hawa wanaopost huku hawalipwi na huwa wakiwa wana apply kazi zao basi na wao wanarusha na hapa ili mtu ikimfaa aiombe.
na sidhan kama wana nia ya kuibia watu hela.

Hebu toa ushahidi.
Angalia nilicho andika nimesema kuna watu watakuwa wanapiga, sijasema nimeona wala kupigwa mimi maana mimi siwezi kuingia mkenge.

Najua kazi huwa zinatafutwaje na ni nini kifanyike ill mtu aweze kupata na juwafikia waajiri

Wengi ambao wanakuja humu ni watu walio na uhitaji, so wengi wanaweza kuombwa hela bila kuwa na uhakika hata aanayemoa hela wanahusika na ajira yenyewe.

Na hapo ndipo upigaji unapotokea.

Sijashutumu mtu nilikuwa nauliza maswali ya msingi

Ila hawa Seran pamoja na Manyanza wanaleta maneno na kejeli za kijinga badala ya kujibu
 
Ongea na boss kubwa asap afanye jambo la msingi, sijisikii kujibizana upumbavu na psychos!
Na nikitolewa tu lazima niwekee wanajukwaa wote hiki macho jaribu kukikwepa na kukosa majibu yaliyo nyooka

Mna Kalia kuleta trantum badala ya kujibu maswali ya muhimu
 
Mkuu
Kama wewe tayari una ajira, acha wasio nazo wapambane kutafuta.
Usituvurugie Uzi.
Unajua ni kwanini nauliza haya maswali na wao wanaishia kutukana?

Ni kwasababu yawezekana kuna watu wanapigwa kweli.

Sio kwamba nawashutumu wao, ila huenda kinachotokea ndicho hicho via hizo namba wanazozitoa na kujirudia rudia katika kila poster ya tangazo hata kama ni kazi tofauti
 
Sasa mzee, hu uzi ulipofikia, ingekuwa kuna mtu amewahi kulizwa ungeona lalamiko lake, Ila uzi mzima hakuna lalamiko hata moja, sasa iweje ww useme kuna kupigwa hapa?
Nani anaguts za kuja kuanza kulia kaibiwa na wakati alikuwa anatafuta kazi? Na Kuna wengine hata hawataki kuja kujua kuna mchezo maana watatuma pesa na simu hazitapigwa, ina maana watajua kuwa hakuna kazi kumbe waliye mtumia pesa hausiki hata kidogo na kazi yenyewe
 
Unajua ni kwanini nauliza haya maswali na wao wanaishia kutukana?

Ni kwasababu yawezekana kuna watu wanapigwa kweli.

Sio kwamba nawashutumu wao, ila huenda kinachotokea ndicho hicho via hizo namba wanazozitoa na kujirudia rudia katika kila poster ya tangazo hata kama ni kazi tofauti
Waliopigwa wapo wapi?
Mbona hawajakuja hapa kusema
 
Back
Top Bottom