Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nikadhani una watu waliotapeliwa tayari.
Mbona sisi tuna apply hizi kazi na hatujawahi kutapeliwa.
Yaani unakuja kuleta doubt ambazo huna uhakika nazo?
Mkuu Sidhani kama ulinielewa...!
Niliuliza maswali toka mwanzo na wao wakaanza kuyageusa naomba u trace nyuma kwanza then uje
 
📢 NAFASI ZA KAZI – DAR ES SALAAM

Kampuni inatafuta wafanyakazi wenye sifa zifuatazo:

1. Transport Managers – Nafasi 2
2. Truck Drivers – Nafasi 56
* Awe na Driving Licence Class E
* Awe na uzoefu wa kuendesha malori
3. Chinese–Swahili Translators – Nafasi 3
* Awe na uwezo mzuri wa kuzungumza na kutafsiri Kichina na Kiswahili

📍 Eneo la Kazi: Dar es Salaam

📩 Interested candidates should send their CVs via
📱 0746 345 915

⚠️ Waombaji wenye sifa zinazohitajika ndio watakaowasiliana na mwajiri.
 
ANAHITAJIKA DEREVA WA KENTA
JINSIA YA KIUME
AWE NA LESENI ILIYO HAI
SALARY 450k
AWE TAYARI KUKAA ENEO LA KAZI
CHAKULA NA MALAZI VINATOLEWA

ELIM KWANZIA FORM 4

HR. 0765266621
 
TANGAZO LA KAZI

Anahitajika Nurse ( Diploma)
Location :Kinondoni
Mshahara : mazungumzo above 400K
Awe na lesseni HAI
Level ya kituo ni polyclinic
Mawasiliano :0670485301
 
7C95E59C-2B5A-4711-81F5-24FCB22BAA37.jpeg
 
Back
Top Bottom