Maelekezo yako juu sana.Leteni lonja za usahili Uhamiaji maana majina yasije kutoka alafu mkaanza kuuliza maswali yanakuaje....ombeni Uhamiaji Mwaka huu naskia wanachukua wengi
Chief wewe ni real hustle..kwa watakao itwa uhamiaji interview domu
sisi tuitolewa model hii ya maswali mwaka jana.
1. dfn passport,refugee,immigration,citizen ship
2.benefits of immigration
3. write national song (in swahili)
4. African blocks that tanzania is the member
5.multiple choice,matching items za entry and exit points za nchi, CGI, asylum seeker, MOHA pitieni wakuu
maswali yao uijue civics,current news, isome website yao na immigration act and client charter.
kila la kheri wakuu,kitaa sio poah
Shukrani kwa nondo mkuu.kwa watakao itwa uhamiaji interview domu
sisi tuitolewa model hii ya maswali mwaka jana.
1. dfn passport,refugee,immigration,citizen ship
2.benefits of immigration
3. write national song (in swahili)
4. African blocks that tanzania is the member
5.multiple choice,matching items za entry and exit points za nchi, CGI, asylum seeker, MOHA pitieni wakuu
maswali yao uijue civics,current news, isome website yao na immigration act and client charter.
kila la kheri wakuu,kitaa sio poah
nitafurahi sana ukiingia mzigoni, na wale jamaa zangu kama wanne hvii ambao tumekuwa tukizisaka hizi nafasi kwa udi na uvumbaShukrani kwa nondo mkuu.
@ least tumepata pa kuanzia baada ya application process.
Ishi sana mwanetu mfwende sawadogo
Yaaah ni compulsory ... otherwise una connection nzitoWakuu hiki kigezo cha JKT ni lazima? Nashindwa kuomba kwasababu sikupitia JKT nilivomaliza form 6
DahYaaah ni compulsory ... otherwise una connection nzito
Jamaaa yangu Jana nilikuwa nae ,mshikaki afisa wa uhamiaji aka mwambia gonga muhuri uwe tofaut wengine muda bahasha uchambukiwa randomly lakin vyema ukawa wa tofaut na wengineWakuu, eti kupiga mihuri vyeti ni lazima kwenye haya maombi ya uhamiaji??
Medical forms hata kwenye website yao hawajaziweka ...Medical form wadau tunaomba
Ahsante kiongozi Niko shamba huku sijaingia online muda ndio najua Leo aiseeAyaa iyo.apo imetoka saiviView attachment 2857011
Cv Ina printiwa......barua ndo inaandikwaMambo yanaendaje wanaharakati
Kuna kipengele cha CV je nayo hii inaandikwa kwa mkono ? Au tunaoprinti ?