Nimekuelewa kamanda wangu....mhimu maokoto mengne yatajulikana mbeleKufanya kazi za ulinzi haimanishi umegive maisha au umegive kitu fulani hapana kiongozi kamanda.
Nadhani njia za utafutaji zipo nyingi halali tu,ni vyema ukafanya kazi ili maisha yasonge maisha ya kusubiri kazi ikiwa huna kazi ni maisha ya kudumaa kiakili hadi uanaume
Maisha yanataka utafute kwanza chaka kama ikitokea another bigger Chance than the first or currently you hold una piga chini unahamia kwengine.
Tusikate tamaa ila kazi tufanye kusubiri ajira siyo lazima kwamba lazima ajira upewe so tujiongeze tusikae tu mtaani
Wapo msata wanataka kuanza kozi ya refreshAnha sio ya monduli nazungumzia kozi Hawa form six mujibu wa sheria wa mwaka huu ile kozi ya awali.
Regular wapo TMA Sasa hii wiki ya 4 ya mkesha military science wapo msata wanasubiri waanze Refresh kozisouthernboy@zafrain sag wakuu millitary science wanaanza lini course.
Regular wapo TMA Sasa hii wiki ya 4 ya mkesha military science wapo msata wanasubiri waanze Refresh kozi
Kwaiyo millitary science watapiga kozi tofauti na kundi la 43Regular wapo TMA Sasa hii wiki ya 4 ya mkesha military science wapo msata wanasubiri waanze Refresh kozi
Nafkiri maana bado hawaja anzaKwaiyo millitary science watapiga kozi tofauti na kundi la 43
Unamaanisha wanaweza ita tena watuPolice nimeskia fununua reserve wanaweza kuongezeka
Aisee UT nimepambana nazo muda mrefu wacha na hii awamu nijaribuUT wamepata kibali January wanatangaza ajira haya nj Maneno ya Waziri Masauni akiwa jana TUCTA_UKONGA Kugunga kozi ya uongozi daraja la Pili na uongozi Daraja la juu kwa Maafisa wa Magereza
Wameshatoa nafasi boss?Aisee UT nimepambana nazo muda mrefu wacha na hii awamu nijaribu
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
January waziri alisema kibali tayarWameshatoa nafasi boss?
Shida uhamiaji ndoige nyingi bora ht PT unaweza toboa huko aise ni maji marefuJanuary waziri alisema kibali tayar
Kozi wameanza leo wew jipe moyo....subiri mshati mwakaniPolice nimeskia fununua reserve wanaweza kuongezeka
Sijaisikia hii ila it could be possible and i was expecting that anytime soon, maana kama Military Science wameshaitwa basi kituo kinachofuata obviously ni Msata wale wa RTS, ronja niliyoipata ni kwamba course inaweza anza January au ikichelewa sana basi February so huu ndio muda wa simu na mesejiHuko JW nasikia washaanza kupiga simu..
Nani mwengine aliyesikia hii Lonja?
Zafrain sag
Mwagabona
Jadda
Muda wote toka wa report walikuwa hawaja Anza???? .....Amna siko huko last time nilskia walikuwa porini toka ku report kwaoKozi wameanza leo wew jipe moyo....subiri mshati mwakani
Watu wapo kozi muda huu msata.Simu bado wakuu bogi mwezi wa tatu huko Askari 3elf...kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya taarifa