Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Acha uoga Mzee. Kwenye ajira 700....wa connection hawazidi 100
Mkuu unaishi nchi gani, JW hawatangazagi nafasi za ajira ila kila mwaka Askari zaidi ya 3000 wanaapa pale Kihangaiko jiulize hawa wote wanapatikanaje, hata ukiwa kikosini hupati bila connection maana huko nako wako wengi zaidi ya nafasi zilizopo ndio maana kuna wanaorudi nyumbani
 
Aaah hizo achana nazo mkuu...nilijua unazisemea hizi za magereza

.jw labda uende kambini ...kujitolea ....ila ukiwa kitaa uwe na connection nzito
 
mkuu zile walizotangaza mwaka jana kwa kikosini kwetu niliomaliza nao kaondoka mmoja nae sababu alikuwa batman wa co akampiganishia juu kwa juu ila juz wamemaliza zaid ya 2000 ,yaani jw nafasi 3000 majina ya mchongo 5000 hapo bado walio jkt
 
Duuuuh sure??
 
Hiz hazina formula ......na wanangu zaidi ya watano wazee walikuwa ma brigedia Bado wamekula za uso mkataba umeisha wako home
 
Hizi ajira ni kizungumkutiiii wakuuu kikubwa muombe sana mungu na kupambana haswaaa......kingine maisha sio lazima yawe kwenye vyombo vya ulinziiiii tu maishaaa ni popote na kupambana na kuishiii kwa nidhamu....mpk sasa kitaa nishatoboa 4 years
 
Na JKT kujitolea ulienda?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom