scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,816
- 5,620
Unamaanisha niniHilo tangazo la 18/08/2021....
Unamaanisha niniHilo tangazo la 18/08/2021....
Soma tangazo vizuri hilo tangazo mwisho wa maombi lini na imetolewa lini..... Inawezekana wamekosea au wahuni wametengeza ili kutapeli watu...Unamaanisha nini
Mzigo mpya huo mkuuu kwenye page yao Instagram wame post ....naona madogo wako kozi sahivi soon wata maliza kunako uzimaUnamaanisha nini
Polisi Ndo Wasimamizi Wa Sheria Na Ndo Jeshi Linalosimamia Usalama Wa Raia Na Mali Zao... Depo Iliyotoka Mwezi Wa 3 Pamoja Na Depo Iliyopo Mafunzo Kwa Sasa Watasimamia Na Kusaidia Katika Mwendelezo Wa Uchaguzi Wa Wenyeviti Wa Vijiji Pamoja... Ndo Maana Polisi Wanapaswa Kuwa Wengi ZaidiPolisi hawapoi kweli wale wenzao wa upande wa pili sijui kipi kinawafanya wasichukue watu.
Madogo Bado Wanapambana... Depo Ni Mwaka Hope Mwezi Wa 9 Mapema Sana Wataapa Tayari Kwa Majukumu Ya Kitaifa Na Kutumikia Wananchi.Mzigo mpya huo mkuuu kwenye page yao Instagram wame post ....naona madogo wako kozi sahivi soon wata maliza kunako uzima
Wakuu, medical form ya polisi inapatikana vipi.
Ya kaz gan sasa?Wakuu, medical form ya polisi inapatikana vipi.?
Login Kwa Hyo email. Nadhan kutokana na issue ya mtandao ndo mana majibu ya kusign up hayako instantlyWakuu samahani kila nikitaka kusign in nikiandika email naambiwa *this email was already taken" shida itakuwa nn maana nmetengeneza email nyingine lakin bqdo inasema ivyoivyo
Umewezaje kuingia kwenye portal? MsaadaWakuu samahani kila nikitaka kusign in nikiandika email naambiwa *this email was already taken" shida itakuwa nn maana nmetengeneza email nyingine lakin bqdo inasema ivyoivyo
Okay kakaLogin Kwa Hyo email. Nadhan kutokana na issue ya mtandao ndo mana majibu ya kusign up hayako instantly
Nilitumia vpn na niliingia usiku sanaUmewezaje kuingia kwenye portal? Msaada
Afadhari maan hiyo server yao ni shidaaaa