Kishnajr
JF-Expert Member
- Jun 15, 2022
- 308
- 288
Mabio km ya kilomita ngapi kaka? Maan kitaa jion napiga km 4 km kwenda na kurudi,sku nyngn 3,nyngn 2 ndio hvo yanNa CCP mtakimbia Mabio sio poa
Mabio km ya kilomita ngapi kaka? Maan kitaa jion napiga km 4 km kwenda na kurudi,sku nyngn 3,nyngn 2 ndio hvo yanNa CCP mtakimbia Mabio sio poa
PCCB zinakuaga chache , alafu watu kibaoOh pole. Za PCCB nazo zinakuja.
Tengeneza tu pumzi kijana itakusaidiaMabio km ya kilomita ngapi kaka? Maan kitaa jion napiga km 4 km kwenda na kurudi,sku nyngn 3,nyngn 2 ndio hvo yan
We usiitunzee babaDah jana nimedonate blood muhimbili km nusu lita hvi. Kwhyo sjatunza damu au sio.au ilimaanisha nin?
We usiitunzee baba
umebadili tena msimamo mkuuKutoboa Bila Connection Inawezekana Kabisa Sio wote wanakwenda kwa connection asilimia kubwa wanaenda tu connection ni wachache.
my bad matron..!!! Mara chache kuwakuta wasichana pande hizi..!!Kheee kwahyo kwenye huu uzi wote ni mabro , me sio bro
Nimekaribiamy bad matron..!!! Mara chache kuwakuta wasichana pande hizi..!!
Karibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kheee kwahyo kwenye huu uzi wote ni mabro , me sio bro
Kabisaamy bad matron..!!! Mara chache kuwakuta wasichana pande hizi..!!
Karibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi zimamoto napo tayari???PCCB zinakuaga chache , alafu watu kibao
Upo sahihi mkuu umakini unahitajika mkubwa sana kipindi hikiUsikubal kudanaanywa Sijui connection humu ndani utalizwa
Kma huna gamba la Jkt usijisumbueKwaiyo km ukupitia mafunzo ya jkt kwa mujibu wa sheria imeisha iyo
Kuna mwanangu pia amemaliza intake iliyopita ndio anayeniibia lonja.Mimi dogo katoka ccp intake iliyopita so lonja za kule kibao ninazo
Nasikia kufoleni saa6 usiku,Mara kuhesabiwa sijui nakufanyaje saa 8 hii hapa.Na CCP mtakimbia Mabio sio poa