Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kwaiyo km ukupitia mafunzo ya jkt kwa mujibu wa sheria imeisha iyo
Kila siku tunasema humu ndani mujibu wa sheria ile ni jkt umepewa cheti cha jkt

Sasa wewe usiombe useme mimi ni mujibu wa sheria shauri yako

mbona mifano ipo mingi ya mujibu wa sheria kupata nafasi kunguru wa Manzese alikuwa mujibu wa sheria kwenye ule uzi wa ajira za utumishi alisema amepoteza nauli sana Dodoma sema sijui mwamba alisomeaga nini huku kwenye majeshi hatimaye kabahatisha

Halafu ukichinguza wengi ambao wanaombea cheti cha degree hizi ajira za majeshi ni mujibu wa sheria na kwenye list ya kupata wapo
 
Kule unaishi kama mzuka mda wote mimi kuruta " mimi kuruta"

Mda wowote unaogopa kujichanganya ukaaga mashindano na asikwambie mtu hivi unajua maisha ya uoga ya kuwindana kama digidigi yalivyo ?

Ukiumwa kidogo malaria we tayari unfit , buti hujapiga kiwi we tayari ushaharibu

Ndio maana wakimaliza wakichomoka ccp wanakuwa wamevurugwa morali kama zote usiombe ukutane na kisanga cha askari mpya huo utukutu wako utaisha
Nimecheka saaana kudadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka saaana kudadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nawaambia ndugu zangu Mungu kafanya miujiza yake majina yametoka upo kote kote polisi na uhamiaji au fire na polisi . Halafu unasema unaenda ccp

Labda kwa mapenzi yako binafsi na mahaba yaliyo juu unapenda uende uko

Ila tukiongea ukweli nyie wenyewe mnajua nasema hivi humu ndani ikitokea imewakuta hivyo mmepata kote kote hakuna atakaye enda huko labda MrBanks kidogo inaonekana anakupenda

Ila xmonster anayependa mshahara wa haraka haraka utamkuta tayari kasharipoti boma
 
Kila siku tunasema humu ndani mujibu wa sheria ile ni jkt umepewa cheti cha jkt

Sasa wewe usiombe useme mimi ni mujibu wa sheria shauri yako

mbona mifano ipo mingi ya mujibu wa sheria kupata nafasi kunguru wa Manzese alikuwa mujibu wa sheria kwenye ule uzi wa ajira za utumishi alisema amepoteza nauli sana Dodoma sema sijui mwamba alisomeaga nini huku kwenye majeshi hatimaye kabahatisha

Halafu ukichinguza wengi ambao wanaombea cheti cha degree hizi ajira za majeshi ni mujibu wa sheria na kwenye list ya kupata wapo
fact
 
Mimi nawaambia ndugu zangu Mungu kafanya miujiza yake majina yametoka upo kote kote polisi na uhamiaji au fire na polisi . Halafu unasema unaenda ccp

Labda kwa mapenzi yako binafsi na mahaba yaliyo juu unapenda uende uko

Ila tukiongea ukweli nyie wenyewe mnajua nasema hivi humu ndani ikitokea imewakuta hivyo mmepata kote kote hakuna atakaye enda huko labda MrBanks kidogo inaonekana anakupenda

Ila xmonster anayependa mshahara wa haraka haraka utamkuta tayari kasharipoti boma
Jamaa yangu alipiga interview uhamiaji na magereza, mkeka umetoka jina lake lipo kotekote yan uhamiaji na magereza.... Jamaa akachagua magereza dah
 
Malaria haikupi u - unfit ila kujifanya unaumwa Mara kwa Mara unakuw recorded so at the end wanaku mark up kuwa unfit. Watu wana act sana kule nasikia
Kule unaishi kama mzuka mda wote mimi kuruta " mimi kuruta"

Mda wowote unaogopa kujichanganya ukaaga mashindano na asikwambie mtu hivi unajua maisha ya uoga ya kuwindana kama digidigi yalivyo ?

Ukiumwa kidogo malaria we tayari unfit , buti hujapiga kiwi we tayari ushaharibu

Ndio maana wakimaliza wakichomoka ccp wanakuwa wamevurugwa morali kama zote usiombe ukutane na kisanga cha askari mpya huo utukutu wako utaisha
 
Malaria haikupi u - unfit ila kujifanya unaumwa Mara kwa Mara unakuw recorded so at the end wanaku mark up kuwa unfit. Watu wana act sana kule nasikia
Daah Mimi nakuogopa Sana kule

Ila mimi najiuliza mpka leo sipata jibu ina maana polisi miezi 9 hawa wengine 6

Kwa nini inakuwa hivyo

Na kwenye maslahi wakoje?

Maana wanasema wizara ya ndani mishahara inalingana
 
Hahaha huko hapana mkuu tena najua na PCCB wataleta zao...sema PCCB na wao intake iliyopita walifanyia huko huko CCP
Mimi nawaambia ndugu zangu Mungu kafanya miujiza yake majina yametoka upo kote kote polisi na uhamiaji au fire na polisi . Halafu unasema unaenda ccp

Labda kwa mapenzi yako binafsi na mahaba yaliyo juu unapenda uende uko

Ila tukiongea ukweli nyie wenyewe mnajua nasema hivi humu ndani ikitokea imewakuta hivyo mmepata kote kote hakuna atakaye enda huko labda MrBanks kidogo inaonekana anakupenda

Ila xmonster anayependa mshahara wa haraka haraka utamkuta tayari kasharipoti boma
 
Daah Mimi nakuogopa Sana kule

Ila mimi najiuliza mpka leo sipata jibu ina maana polisi miezi 9 hawa wengine 6

Kwa nini inakuwa hivyo

Na kwenye maslahi wakoje?

Maana wanasema wizara ya ndani mishahara inalingana
Kinachofanya polisi ichukue muda mrefu ni darasani sana. Masomo mengi afu porini pia wanakaa muda mrefu kuliko hata JW. Inshort dogo ananiambia porini polisi wako vizur sana na mifumo ya kimapigano. Kule ndio kazi ipo sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom