Ramon Abbas JF-Expert Member May 4, 2021 1,964 3,900 Sep 29, 2021 #1 Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi
Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi
Ramon Abbas JF-Expert Member May 4, 2021 1,964 3,900 Sep 29, 2021 Thread starter #2 Namba ya kuwasiliana na mimi nikuunganishe 0625750755
chlorine gas JF-Expert Member Jun 12, 2015 2,490 2,574 Sep 29, 2021 #3 Ww n dalali tu unataka ule 70 ya mtu kila mwezi
The Salt JF-Expert Member Jul 3, 2017 390 1,024 Sep 29, 2021 #4 chlorine gas said: Ww n dalali tu unataka ule 70 ya mtu kila mwezi Click to expand... Kwamba nikiomba hapo basi napigwa elfu 70?
chlorine gas said: Ww n dalali tu unataka ule 70 ya mtu kila mwezi Click to expand... Kwamba nikiomba hapo basi napigwa elfu 70?
A annatee JF-Expert Member Aug 15, 2021 592 1,363 Sep 29, 2021 #5 Duu kuna mtu anaenda kupigwa hela apo laki???
Allency JF-Expert Member Jan 27, 2011 13,738 13,106 Sep 29, 2021 #7 Natakiwa kuwa na muonekano upi au sifa gani? Nikiwa kama mzee kijana aka slowslow naweza pata nafasi pia?
Natakiwa kuwa na muonekano upi au sifa gani? Nikiwa kama mzee kijana aka slowslow naweza pata nafasi pia?
yello masai JF-Expert Member Jan 8, 2016 3,553 3,515 Sep 29, 2021 #8 Bingwa Mara 4 said: Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi Click to expand... Nimempa dogo namba atakupigia. Namba yake voda inaishia 53 Sent using Jamii Forums mobile app
Bingwa Mara 4 said: Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi Click to expand... Nimempa dogo namba atakupigia. Namba yake voda inaishia 53 Sent using Jamii Forums mobile app
Greatest Of All Time JF-Expert Member Jan 1, 2017 20,722 45,129 Sep 29, 2021 #9 Bingwa Mara 4 said: Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi Click to expand... Hiyo nafasi muunganishe ndugu yako
Bingwa Mara 4 said: Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi Click to expand... Hiyo nafasi muunganishe ndugu yako
Ambition plus JF-Expert Member Feb 23, 2018 6,063 11,109 Sep 29, 2021 #10 Risk ya hii kazi..... Pakiibiwa inaonekana mlinzi kala njama na wezi... Na majambazi wakiingia wanatafuta kwanza mlinzi ako wapi tuanze nae...
Risk ya hii kazi..... Pakiibiwa inaonekana mlinzi kala njama na wezi... Na majambazi wakiingia wanatafuta kwanza mlinzi ako wapi tuanze nae...
Ramon Abbas JF-Expert Member May 4, 2021 1,964 3,900 Sep 29, 2021 Thread starter #12 chlorine gas said: Ww n dalali tu unataka ule 70 ya mtu kila mwezi Click to expand... Ni haki yangu kupewa kitu kidogo pale ninapotumia resources zangu kutafutia wengine. lakini siwezi kula parefu hivyo mkuu
chlorine gas said: Ww n dalali tu unataka ule 70 ya mtu kila mwezi Click to expand... Ni haki yangu kupewa kitu kidogo pale ninapotumia resources zangu kutafutia wengine. lakini siwezi kula parefu hivyo mkuu
Ramon Abbas JF-Expert Member May 4, 2021 1,964 3,900 Sep 30, 2021 Thread starter #14 Member to remember said: Advance sh ngapi? Click to expand... Laki 2
Mnyuke Jr JF-Expert Member Jul 3, 2021 4,471 6,371 Sep 30, 2021 #15 Ambition plus said: Risk ya hii kazi..... Pakiibiwa inaonekana mlinzi kala njama na wezi... Na majambazi wakiingia wanatafuta kwanza mlinzi ako wapi tuanze nae... Click to expand... Hahahaha daah, ntafanya kazi zote ila sio hii coz hapo kwenye majambazi lazima waanze na wewe kwanza pale getini na pia uhalifu ukitokea na mlinzi ukapona basi polisi wanaanza na ww kwanza ukaa ndani kidogo
Ambition plus said: Risk ya hii kazi..... Pakiibiwa inaonekana mlinzi kala njama na wezi... Na majambazi wakiingia wanatafuta kwanza mlinzi ako wapi tuanze nae... Click to expand... Hahahaha daah, ntafanya kazi zote ila sio hii coz hapo kwenye majambazi lazima waanze na wewe kwanza pale getini na pia uhalifu ukitokea na mlinzi ukapona basi polisi wanaanza na ww kwanza ukaa ndani kidogo