Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,818
- 9,817
Tumesha chapisha vipeperushi vyakutosha, lengo ni kuwafikia watanganyika wote waishio hapa. Tutashiriki maandamano ya amani ya kumdai Humphrey Polepole siku ya uzinduzi wa AFCON.
Watateka wangapi mkuu?Utatekwa unataka kuharibu stimu za wakuu
kakite Kambi, Kizimkazi na Ikulu ndogo ya TUNGUU!Tumesha chapisha vipeperushi vyakutosha, lengo ni kuwafikia watanganyika wote waishio hapa. Tutashiriki maandamano ya amani ya kumdai Humphrey Polepole siku ya uzinduzi wa AFCON.
Sawa boss nitafikakakite Kambi, Kizimkazi na Ikulu ndogo ya TUNGUU!
Hatuna shida naye, tunamtafuta ndugu yetu.Mjane ni mgonjwa! Mtafanya virus vipande kichwani