Naenda Tanga Kuoa

Naenda Tanga Kuoa

So far swala la ushirikina na uchawi siyo kwa Watu wa Tanga pekee bali kwa WaTZ wengi kwa ujumla maswala haya yamekuwepo miongoni mwa wengi! Takwimu zinaonesha Tz kuwa Kinara wa mambo hayo miongoni mwa nchi zote Za Africa amashariki na Kati na Kusini!
 
Msimu huu Maembe ya kila aina utayakuta Tanga , mafenesi, matunda damu, mapeasi, n.k
 
Joverest kadisco UDSM.
Msifanye mchezo na JF. Alikuwa anaacha kukomaa na chuo yupo na iphon yake anavizia thread mpya.
Siku nzima 24 hrs mnategemea nini?
Mkuu nikikwambia uthibitishe hayo usemayo utakuwa n ushahidi uliokamilika??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom