Hatimaye naenda kuoa Moshi mke wa pili raha jipe mwenyewe

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Naenda Moshi kwetu kwa ajili ya kufunga ndoa baada ya karibia miezi 3 toka niachane na mke wangu ambaye tumeishi miaka kadhaa na tumebahatika kuwa na watoto pia

Nilileta huu uzi humu jukwaani

Nimejifunza kwenye maisha hakuna kitu kizuri kama kuwa na furaha na amani ya moyo hicho ndo kikubwa tu

Kuna watu wanaishi ndoa za mateso wanavumilia kwamba wanaona wakiachana na wapenzi wao kwamba jamii na watu watawaonaje au watazungumzaje, rafiki yangu tafuta furaha yako na amani ya maisha yako bila kuangalia watu wanasemaje imradi usivunje sheria au kumuudhi mungu

Mimi naenda kufunga ndoa Moshi na mke wangu mpya, Kikubwa furaha tu na amani na ustawi wa maisha tu...

Mipango ya ndoa ilikua toka mwezi mmoja, sasa watu wananiuliza kwanini nimeharakisha kuoa wakati ni miezi tu miwili umetoka kuachana na mkeo wa kwanza, sasa wao wanataka nifanyeje? Nikae miaka ndo nioe tena?ili iweje sasa?Na kwanini niishi kibachelor wakati uwezo wa kuoa na kuhudumia mke kila kitu ninao?
 
Ww ndio ulikuwa shida mmeachana miezi mitatu sahivi unafunga ndoa kweli acheni kuwalaumu wanawake tatizo kubwa utakuwa ww, nenda kafunge Ila hiyo ndoa huenda haitadumu mwisho wa siku tutasikia unanyemelea kwa bi mkubwa yetu macho kikubwa uzima tu
 
Naenda Moshi kwetu kwa ajili ya kufunga ndoa baada ya karibia miezi 3 toka niachane na mke wangu ambaye tumeishi miaka kadhaa na tumebahatika kuwa na watoto pia

Nilileta huu uzi humu jukwaani

Nimejifunza kwenye maisha hakuna kitu kizuri kama kuwa na furaha na amani ya moyo hicho ndo kikubwa tu

Kuna watu wanaishi ndoa za mateso wanavumilia kwamba wanaona wakiachana na wapenzi wao kwamba jamii na watu watawaonaje au watazungumzaje, rafiki yangu tafuta furaha yako na amani ya maisha yako bila kuangalia watu wanasemaje imradi usivunje sheria au kumuudhi mungu

Mimi naenda kufunga ndoa Moshi na mke wangu mpya, Kikubwa furaha tu na amani na ustawi wa maisha tu...

Mipango ya ndoa ilikua toka mwezi mmoja, sasa watu wananiuliza kwanini nimeharakisha kuoa wakati ni miezi tu miwili umetoka kuachana na mkeo wa kwanza,sasa wao wanataka nifanyeje?nikae miaka ndo nioe tena?ili iweje sasa?Na kwanini niishi kibachelor wakati uwezo wa kuoa na kuhudumia mke kila kitu ninao?
Safi sana Kimsboy, hakuna kuchelewa unatoa tatizo unaweka faraja
 
Sasa hivi emotions ziko kazini subiria ziishe ndo utajua ulipoulizwa kuwa mbona umewahi kuoa.
Huyo alikuwa kyasaka ama kishoia mwenzako
 
Naenda Moshi kwetu kwa ajili ya kufunga ndoa baada ya karibia miezi 3 toka niachane na mke wangu ambaye tumeishi miaka kadhaa na tumebahatika kuwa na watoto pia

Nilileta huu uzi humu jukwaani

Nimejifunza kwenye maisha hakuna kitu kizuri kama kuwa na furaha na amani ya moyo hicho ndo kikubwa tu

Kuna watu wanaishi ndoa za mateso wanavumilia kwamba wanaona wakiachana na wapenzi wao kwamba jamii na watu watawaonaje au watazungumzaje, rafiki yangu tafuta furaha yako na amani ya maisha yako bila kuangalia watu wanasemaje imradi usivunje sheria au kumuudhi mungu

Mimi naenda kufunga ndoa Moshi na mke wangu mpya, Kikubwa furaha tu na amani na ustawi wa maisha tu...

Mipango ya ndoa ilikua toka mwezi mmoja, sasa watu wananiuliza kwanini nimeharakisha kuoa wakati ni miezi tu miwili umetoka kuachana na mkeo wa kwanza,sasa wao wanataka nifanyeje?nikae miaka ndo nioe tena?ili iweje sasa?Na kwanini niishi kibachelor wakati uwezo wa kuoa na kuhudumia mke kila kitu ninao?
Anza kujenga nyumba hukohuko Moshi.
 
Ww ndio ulikuwa shida mmeachana miezi mitatu sahivi unafunga ndoa kweli acheni kuwalaumu wanawake tatizo kubwa utakuwa ww, nenda kafunge Ila hiyo ndoa huenda haitadumu mwisho wa siku tutasikia unanyemelea kwa bi mkubwa yetu macho kikubwa uzima tu
Kwahiyo angekaa miaka miwili ndio yeye asingekuwa tatizo?? Kwa kukaa miaka miwili ndio ataonekana mtalaka wake ndio alikuwa tatizo??

Mbona huu wako ni uwezo mdogo sana wa kufikiri ndugu???

Halafu eti unamtilia nuksi kwa kutomtakia kheri katika ndoa yake. Hakujui humjui, binaadam bhana.

Njooni muwaone wachawi huku jamani
 
Naenda Moshi kwetu kwa ajili ya kufunga ndoa baada ya karibia miezi 3 toka niachane na mke wangu ambaye tumeishi miaka kadhaa na tumebahatika kuwa na watoto pia

Nilileta huu uzi humu jukwaani

Nimejifunza kwenye maisha hakuna kitu kizuri kama kuwa na furaha na amani ya moyo hicho ndo kikubwa tu

Kuna watu wanaishi ndoa za mateso wanavumilia kwamba wanaona wakiachana na wapenzi wao kwamba jamii na watu watawaonaje au watazungumzaje, rafiki yangu tafuta furaha yako na amani ya maisha yako bila kuangalia watu wanasemaje imradi usivunje sheria au kumuudhi mungu

Mimi naenda kufunga ndoa Moshi na mke wangu mpya, Kikubwa furaha tu na amani na ustawi wa maisha tu...

Mipango ya ndoa ilikua toka mwezi mmoja, sasa watu wananiuliza kwanini nimeharakisha kuoa wakati ni miezi tu miwili umetoka kuachana na mkeo wa kwanza,sasa wao wanataka nifanyeje?nikae miaka ndo nioe tena?ili iweje sasa?Na kwanini niishi kibachelor wakati uwezo wa kuoa na kuhudumia mke kila kitu ninao?
Japo napitia hali mbaya lakini usikute ni hasirw mkuu...ndoa haitadumu
 
IMG_20211103_153114.jpg
 
Mola akujaalie baraka na furaha tele.

Ndoa inatakiwa isababishe furaha kwenye maisha. Naamini ulichukua jitihada za kurekebisha kasoro kwenye ndoa yako ya kwanza ila ikashindikana.

Kila la kheri mkuu
 
Back
Top Bottom