Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 40,599
- 52,299
Imebidi nimpe suprise binti yangu. Amejitahidi kwenye mtihani wake wa muhula huu. ................................... Kwa kuwa shule yao imeweka matokeo yao kwenye internet nimeshukuru Mungu kuwa amejitahidi. .................... Najua kinondoni ndo kuna viwalo so nimeamua nimpeleke akachague vitu 2 tu atakavyovipenda siyo gari lakini.