Naelekea kinondoni........ Tukutane wapi?

aje kinondoni kwa duka la akina jouneGwalu ana viwalo vya kufa mtu
onana naye au mpm
Imebidi nimpe suprise binti yangu. Amejitahidi kwenye mtihani wake wa muhula huu. ................................... Kwa kuwa shule yao imeweka matokeo yao kwenye internet nimeshukuru Mungu kuwa amejitahidi. .................... Najua kinondoni ndo kuna viwalo so nimeamua nimpeleke akachague vitu 2 tu atakavyovipenda siyo gari lakini.
 
Last edited by a moderator:
Hongera mamy kwakukuza,mpe hongera bintiyo kwa kufaulu,endlea kumtia moyo azid kufanya vizuri.
 
Back
Top Bottom