Naelekea kinondoni........ Tukutane wapi?

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
40,562
52,197
Imebidi nimpe suprise binti yangu. Amejitahidi kwenye mtihani wake wa muhula huu. ................................... Kwa kuwa shule yao imeweka matokeo yao kwenye internet nimeshukuru Mungu kuwa amejitahidi. .................... Najua kinondoni ndo kuna viwalo so nimeamua nimpeleke akachague vitu 2 tu atakavyovipenda siyo gari lakini.
 
Hongera ana umri gani..weka mbali.na mzee wa Akudo
 
Kinondoni wapo expensive sana alf sio quality mpeleke spalsh pale karibu na obey police or mlimani city
 
Hongera Mamndenyi umekuza na umpe binti yetu hongera kwa kufaulu mitihani yake.
 
Last edited by a moderator:
Anasoma shule gani na mimi nimpeleke kijana wangu huko?
 
Hee !
Sasa hii ajizi ya kudelaydelay kufungua mabandiko mwisho wangu leo.
Hili bandiko tangu jana naliona , nikawa naliruka kulifungua .
Kumbe naruka mafaida ambayo huenda Kijana wangu atayapata.
Shortly Mamndenyi sioni sababu mie na wewe on the days comin tusiwe wakwewenza .
Kijana wangu aunganishe clans !
Soon ntakutafuta due further programs .
 
Hili bandiko limebandikwa leo acha kujishembendua Mamndenyi ameshanikabidhi niwe bodyguard wa binti yake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom