Naelekea kinondoni........ Tukutane wapi?

Hili bandiko limebandikwa leo acha kujishembendua Mamndenyi ameshanikabidhi niwe bodyguard wa binti yake

Tena itakua njema kuwa na Bodyguard wewe! Udhaifu wako kwenye kinywaji tunaujua .
Bear 7-8 zinakushusha mawe ya mnara wa network !
Then watu wanafanya yao .
Jeuri ya kukwepana na bia zangu utaitoa wapi !
 
Last edited by a moderator:
Hee !
Sasa hii ajizi ya kudelaydelay kufungua mabandiko mwisho wangu leo.
Hili bandiko tangu jana naliona , nikawa naliruka kulifungua .
Kumbe naruka mafaida ambayo huenda Kijana wangu atayapata.
Shortly Mamndenyi sioni sababu mie na wewe on the days comin tusiwe wakwewenza .
Kijana wangu aunganishe clans !
Soon ntakutafuta due further programs .

Miaka hii wanachaguliwa kweli?
 
Last edited by a moderator:
Tena itakua njema kuwa na Bodyguard wewe! Udhaifu wako kwenye kinywaji tunaujua .
Bear 7-8 zinakushusha mawe ya mnara wa network !
Then watu wanafanya yao .
Jeuri ya kukwepana na bia zangu utaitoa wapi !

Ha ha ha mimi bila grants chupa 3 hunileweshi hapa ni full kujikoki lazima binti awe salama
 
Ha ha ha mimi bila grants chupa 3 hunileweshi hapa ni full kujikoki lazima binti awe salama

Yaani Nitty ni hivi , watu-wazima tunakuja full-masi ile ya kifisadi !
We utakulishwa kinywaji ya bei yeyote !
Utapigishwa minyama , minini !
Afu utatupiwa pashkuna-gubeli , jimama moja linagupagawisha!
Kisha wanamme wanafanya yao!
 
Last edited by a moderator:
Yaani Nitty ni hivi , watu-wazima tunakuja full-masi ile ya kifisadi !
We utakulishwa kinywaji ya bei yeyote !
Utapigishwa minyama , minini !
Afu utatupiwa pashkuna-gubeli , jimama moja linagupagawisha!
Kisha wanamme wanafanya yao!

Ha ha ha yale mafunzo niliyopatiwa na TISS ya kumlinda katibu kata wetu unadhani nitadanganyika?
 
Last edited by a moderator:
Imebidi nimpe suprise binti yangu. Amejitahidi kwenye mtihani wake wa muhula huu. ................................... Kwa kuwa shule yao imeweka matokeo yao kwenye internet nimeshukuru Mungu kuwa amejitahidi. .................... Najua kinondoni ndo kuna viwalo so nimeamua nimpeleke akachague vitu 2 tu atakavyovipenda siyo gari lakini.

Kweli wewe ni mama bora a.k.a mama bomba
 
Back
Top Bottom