Naelekea kinondoni........ Tukutane wapi?

Inabidi miss uchukue tahadhari umtaarifu babito wako mue na fire exitinguisher likiwaka mnazima fasta. Nawaombea Mungu awaepushe na ilo moto huyo Mamndenyi siku akitia maguu half london mpelekeni shivaz au mrina aha aha natania bana

bily my dear we acha tu nahisi kuna dalili ya moto kuwashwa kwenye nyumba ya makuti
 
Last edited by a moderator:
Inabidi miss uchukue tahadhari umtaarifu babito wako mue na fire exitinguisher likiwaka mnazima fasta. Nawaombea Mungu awaepushe na ilo moto huyo Mamndenyi siku akitia maguu half london mpelekeni shivaz au mrina aha aha natania bana

hahaha...... Kweli aisee kuna kila haja ya kukaa na fire extinguisher ndani,,,,,,, halafu kule Shivas hakumfahi Mamndenyi kule ni kwa watu waliojitoa ufahamu hahaha
 
Last edited by a moderator:
ukifika tu kndoni niPM nije kukuchukua kukupeleka kwa duka hilo la jounegwalu
Tumeenda kinondoni na kaamua kuremba kichwani na siku imeishia hapo kitu kimoja bado tutapanga tena safari. Pengine ndo tutaenda kwenye hayo maduka.
 
Haa haa kule nouma chezea shivaz na kuna pub moja kule sakina dah nimemis half london ukitaka nyama mbuzi,kondoo,ng'ombe kuna kwa morombo na kisongo ngoja mwezi huu wa sensa natia timu.

hahaha...... Kweli aisee kuna kila haja ya kukaa na fire extinguisher ndani,,,,,,, halafu kule Shivas hakumfahi Mamndenyi kule ni kwa watu waliojitoa ufahamu hahaha
 
Last edited by a moderator:
Haa haa kule nouma chezea shivaz na kuna pub moja kule sakina dah nimemis half london ukitaka nyama mbuzi,kondoo,ng'ombe kuna kwa morombo na kisongo ngoja mwezi huu wa sensa natia timu.

mie nilitoka huko but kesho natia tim tena ndani ya chuga
 
Siyo seminary ukitaka jina la shule nijie pembeni naona kama wazee wa ukaguzi wapo macho hapa.

Hahaha kumbe wapo wanaotumia hii fursa vibaya eenh...hata hivyo taja tu shule mkuu maana hakuna ajuaye jina la mwanao wala la ubin wake
 
Back
Top Bottom