Naelekea kinondoni........ Tukutane wapi?

Ulikuwa hujui hilo? huoni anavyojibaraguza eti oh anamtafutia mchumba mtoto wa kiume mara oh atanilewesha then wamchukue binti yako

Ha ha haa halafu wewe useme ulikomweka Bishanga.
 
Last edited by a moderator:
Yuko mafinga shule ya serkali. I hope ndo kati ya shule bora zilizosalia tz.

Ooh!!! enzi mimi nasoma sikuwahi kuisikia hiyo shule labda kama unamaanisha ile Seminary ya Mafinga (jina lake kidogo limenitoka)
 
hongera kwa binti yako...........siwezi kuimagine mwanangu akifika level zako

being a mom is soo good eti Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Ooh!!! enzi mimi nasoma sikuwahi kuisikia hiyo shule labda kama unamaanisha ile Seminary ya Mafinga (jina lake kidogo limenitoka)

Siyo seminary ukitaka jina la shule nijie pembeni naona kama wazee wa ukaguzi wapo macho hapa.
 
Back
Top Bottom