Nadhani Tundu Lissu anakosea hapa

Nadhani Tundu Lissu anakosea hapa

Mimi sijui kuhusu killing maana ushahidi sina nikiambiwa niseme nani amewaua au wapoteza. Ila ninchofahamu tulikuwa maskini tangu tupate Uhuru miaka 50 iliyopita, kama hao wanaopotea ni sehemu ya mkakati wa kupambana na ukoloni mamboleo ili kuondokana na umaskini mbaya it is fine, wazungu wameua watu wangapi wakati wanajenga uchumi wao?
KWA hiyo mzee jiwe na weusi wrote ule ni mzungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijui kuhusu killing maana ushahidi sina nikiambiwa niseme nani amewaua au wapoteza. Ila ninchofahamu tulikuwa maskini tangu tupate Uhuru miaka 50 iliyopita, kama hao wanaopotea ni sehemu ya mkakati wa kupambana na ukoloni mamboleo ili kuondokana na umaskini mbaya it is fine, wazungu wameua watu wangapi wakati wanajenga uchumi wao?
Zero brain utajuaje nyamafu were?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaomtetea jiwe mnakazi kubwa sana, mabaya aliyoyafanya yanasikitisha sana kuliko mazuri kiduchu aliyoyafanya.
 
Watu maskini na wasio na elimu ukiwapa Uhuru mpana wa kutoa maoni hutiki mbali. Kama wachina ambao ni robo ya world's population kama watapewa Uhuru wa kutoa maoni China itasambaratika. Hata Marekani watu, wanasiasa, wanahabari kuna vitu ambayo wanaviacha hivyohivyo. Uingereza pamoja na elimu na Maendeleo Yao hakuna anayehoji uwepo wa ukoo mmoja Tu wa kifalme unaotumia Kodi zao kifahari milele na milele.
Wewe ndio "Shallow Minded" afadhali
hata unyamaze kabisa. Hujui hata asili ya mfumo wa ufalme wa Uingereza.
 
Tanzania ni nchi masikini sana, tangu tupate Uhuru hatujawahi kuwa na nafuu, hata Rais Magufuli ameikuta hivyohivyo ikiwa na hali mbaya. Sio siri, wote tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondoka kipumbavu wakati wanaliachia bara la Africa ikiwemo Tanzania yetu. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia njia mbali kuendelea kupata malighafi, masoko ya bidhaa zao, na nguvukazi. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia mafariki zao ambao sisi tunawaamini sana kama vile viongozi maarufu, watu maarufu, mashirika ya hisani, mashirika na taasisi za kidini, viongozi wa vyama vya siasa, wanaharakati, WB, IMF, WTO na majasusi kufanikisha adhima zao hizo.

Rais Magufuli ameamua kujilipua na kutumia uncommon sense kutatua common problems zinalolikumba bara lote la Africa hasa kusini mwa jangwa la Sahara. Maana huwezi kutumia common sense kutatua common problems yaliyowashinda Marais wenzako waliokutangulia. Hata wazungu walitumia uncommon sense kufika pale walipofika, uncommon sense yao Ndiyo iliyowatuma watutawale, watufanye watumwa, watufanyishe kazi nyingi bila ujira, kuua Marais wetu waliopinga kunyonywa nk.

Tundu Lissu hakupaswa kupinga kila kitu cha Rais Magufuli kwakuwa vitu ambavyofanya kamavile kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa, kukamata wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya, kuwaondoa viongozi wasiowajibaka, kujenga miundombinu ya kisasa kama barabara, madaraja na reli, elimu bure , kufufua shirika la ndege na reli, nk. hivi vyote vinaonekana hadharani Kwa watanzania na wasiokuwa watanzania.

Tundu Lissu anapaswa ku acknowledge mazuri na ku condemn mabaya, hapo kila mtu angemuelewa. Rais wetu kuna vitu anavifanya kinyume kabisa na matarajio ya wakoloni tusipomsaidia sio Tu atapandwa na hasira lakini tunaweza kuhatarisha uhai wake Kwa ajili yetu sote.
Hata wademocratics wana vitu wanamkosoa Trump lakini kuna vitu hawezi kumkosoa navyo kwakuwa ni kwamanufaa ya Yao wote
Tanzania ni nchi tajiri dunian kwa rasilimali lakn n nchi masikin sana kwa wat wenye akili za Ku utilize rasilimal ilizonanzo hapo ntakuelewa ather wise kasome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima tuwe maskini na tutaendelea maskini, maana tunafanya makosa yale yale kila siku.
Yaani nchi ya watu 53milion lakini maamuzi bado yanafanywa na mtu mmoja, ambaye ni binadamu kama sisi, huyo mtu mmoja ndio Alfa na omega wa Tanzania, siku tukibadilisha huu mfumo ndipo hapo tutakapoanza kupiga hatua kwenda mbele kikweli kikweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leta ushahidi kuwa wazungu wameua? Hapa ushahidi utaujua mkitoka madarakani! wazungu hawapo, leta ushahidi.una uhuru wa kufanya inquries, .... unachelewa nini?
Uelewa wako una mashaka, hivi unajuwa ni waafrika wangapi walikufa bahari ya attrantic wakati wakati wakisafirishwa kama watumwa kwenda amerika kufanya kazi za uzalishaji? Unamfahamu Mkwawa na alivyokufa? Unamfahamu gadaff, Nkrumah, lumumba, mashel, Saadam n.k walivyokufa?
 
Mimi sijui kuhusu killing maana ushahidi sina nikiambiwa niseme nani amewaua au wapoteza. Ila ninchofahamu tulikuwa maskini tangu tupate Uhuru miaka 50 iliyopita, kama hao wanaopotea ni sehemu ya mkakati wa kupambana na ukoloni mamboleo ili kuondokana na umaskini mbaya it is fine, wazungu wameua watu wangapi wakati wanajenga uchumi wao?
Wakati wazungu wanaua watu kujenga uchumi wao uliwaona??
 
Maendeleo gani aliyoyaleta magufuri au kufukarisha watanzania ndio maendeleo, kutupotezea 1.5tillioni ndio maendeleo?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Maendeleo gani aliyoyaleta magufuri au kufukarisha watanzania ndio maendeleo, kutupotezea 1.5tillioni ndio maendeleo?
Elimu bila malipo kutoka Kwa wazazi sio kitu kwako? Kununua ndege ambazo zilikuwa hazipo sio Maendeleo? Siku hizi mateja unawaona vituo vya daladala? Ulishahudumiwa hivi karibuni kwenye ofisi za serikali?

sitetei zimwi linalonitaguna hata mimi hata kidogo kwakuwa haisaidii kusifu kitu kinachokutesa, lakini pia sina tabia ya kupinga kila kitu anachokifanya mtu.
 
Hebu tuwekee mazuri ya huyu dikteta kati ya haya ni yapi mazuri yake?

  1. Kudharau katiba?
  2. Kudharau mahakama?
  3. Kudharau bunge?
  4. Kujichotea trillions hazina kinyemela?
  5. Kuminya haki ya opposition parties?
  6. Kuja na miswaada ya kidikteta?
  7. Kudhulumu wakulima na wafanyakazi?
  8. Kuminya Uhuru wa vyombo vya habari?
  9. Kuwa muongo muongo?
  10. Kutumia vikaragosi vyake kumchafua na kumtisha CAG
  11. Kutumia vikaragosi vyake kumchafua na kumtisha Lissu?
  12. Kutumia zaidi ya bilioni 80 kununua wabunge na madiwani wachumia gumbo?
  13. Kufanya Watanzania walio wengi kuishi kwa hofu Lunda?
  14. Kukurupuka na maamuzi ya ajabu ajabu yanayoathiri uchumi?
  15. Kutoa Kauai za hovyo hovyo kila mara?

Tanzania ni nchi masikini sana, tangu tupate Uhuru hatujawahi kuwa na nafuu, hata Rais Magufuli ameikuta hivyohivyo ikiwa na hali mbaya. Sio siri, wote tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondoka kipumbavu wakati wanaliachia bara la Africa ikiwemo Tanzania yetu. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia njia mbali kuendelea kupata malighafi, masoko ya bidhaa zao, na nguvukazi. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia mafariki zao ambao sisi tunawaamini sana kama vile viongozi maarufu, watu maarufu, mashirika ya hisani, mashirika na taasisi za kidini, viongozi wa vyama vya siasa, wanaharakati, WB, IMF, WTO na majasusi kufanikisha adhima zao hizo.

Rais Magufuli ameamua kujilipua na kutumia uncommon sense kutatua common problems zinalolikumba bara lote la Africa hasa kusini mwa jangwa la Sahara. Maana huwezi kutumia common sense kutatua common problems yaliyowashinda Marais wenzako waliokutangulia. Hata wazungu walitumia uncommon sense kufika pale walipofika, uncommon sense yao Ndiyo iliyowatuma watutawale, watufanye watumwa, watufanyishe kazi nyingi bila ujira, kuua Marais wetu waliopinga kunyonywa nk.

Tundu Lissu hakupaswa kupinga kila kitu cha Rais Magufuli kwakuwa vitu ambavyofanya kamavile kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa, kukamata wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya, kuwaondoa viongozi wasiowajibaka, kujenga miundombinu ya kisasa kama barabara, madaraja na reli, elimu bure , kufufua shirika la ndege na reli, nk. hivi vyote vinaonekana hadharani Kwa watanzania na wasiokuwa watanzania.

Tundu Lissu anapaswa ku acknowledge mazuri na ku condemn mabaya, hapo kila mtu angemuelewa. Rais wetu kuna vitu anavifanya kinyume kabisa na matarajio ya wakoloni tusipomsaidia sio Tu atapandwa na hasira lakini tunaweza kuhatarisha uhai wake Kwa ajili yetu sote.
Hata wademocratics wana vitu wanamkosoa Trump lakini kuna vitu hawezi kumkosoa navyo kwakuwa ni kwamanufaa ya Yao wote
 
Ni elimu uchwara hakuna walimu, vitabu, madarasa, madawati wakati mwingine hata vyoo hakuna.

Ukiona the so called waheshimiwa watoto wao hawatii mguu kwenye hizo shule za elimu bure basi STUKA SANA kwamba hiyo ni elimu UCHWARA. Wazazi wenye kujitambua na wana uwezo watoto wao hawatii mguu kwenye hizo shule za elimu UCHWARA.

Elimu bila malipo kutoka Kwa wazazi sio kitu kwako? Kununua ndege ambazo zilikuwa hazipo sio Maendeleo? Siku hizi mateja unawaona vituo vya daladala? Ulishahudumiwa hivi karibuni kwenye ofisi za serikali?

sitetei zimwi linalonitaguna hata mimi hata kidogo kwakuwa haisaidii kusifu kitu kinachokutesa, lakini pia sina tabia ya kupinga kila kitu anachokifanya mtu.
 
Wewe ni mpumbavu..hivi mtu akikuuliza leta ushahidi wa unayosema utauleta? Acha kulishwa maneneo na wanasiasa uchwara. Bogus maandazi kabisa.
Rubbish, as long as it involves killing people, i.e loss of lives e.g MKIRU, Coco bech, Ben Saanane,killing our beloved ones, eti ni kuleta maendeleo, whaterver "good" he might be doing, if at are there, goes to the trush, down by the trench!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ulitaka awasifie waliomshambulia?

Hebu vaa Ulissu, halafu angalia kama inakuja.

Halafu kazi ya kusifia ni kazi ya Dr Abbas na Lumumba , ndio wameajiriwa kwa kazi hiyo.
Kwahiyo unataka kusema lissu hana tofauti ni yale matoto yanayopenda kujiliza liza nakwenda kule bbc hardtalk ilikuwa nisawa na kwenda kusema kwa baba kuwa amepigwa?maana hakuna cha maana alichokuwa anaongea zaidi ya kuonesha chuki zake kwa jpm ndo maana jamaa kamuona kama chizi fresh vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi amesema anapinga kila kitu? Ulisikiliza vizuri interview yake?
Lissu nimsikiliza Sana yeye adai ni kuheshimu Sheria tuluzojiwekea kikatiba na pia Rais afanye hayo huku akitufundisha kujenga strong systems ya kusimamia hayo hayo aliofanya.Kikwete alienda vizuri Sana aliruhusu utawalabora na makio mengi aliyaundia tume mfano hili la CAG tumeshuhudia report za CAG zikingoa watu madaraja time zikifanta watu wajiudhuru na wengine kuhukumiwa mfano kesi ya zombe wajiudhuru wengine ni mabest wa karibu na raisi.Huenda magufuli huwa na hasira Sana ashindwa kurusu hizi dialogue digest challenge ndiyo maamuzi yatoke tena kwa vyombo husika yeye see pale kwa kuelekeza kwamaana kama Bunge lime kutuhumu na kutoa mapendkezo yy ni kuhitaji barua ya resignation
Kipindi hiki cha magufuli kuna watu wamekataa hata kuhojiwa na tume ya maadili za Bunge na bado ni viongozi hizo ni weekness.
 
Watu maskini na wasio na elimu ukiwapa Uhuru mpana wa kutoa maoni hutiki mbali. Kama wachina ambao ni robo ya world's population kama watapewa Uhuru wa kutoa maoni China itasambaratika. Hata Marekani watu, wanasiasa, wanahabari kuna vitu ambayo wanaviacha hivyohivyo. Uingereza pamoja na elimu na Maendeleo Yao hakuna anayehoji uwepo wa ukoo mmoja Tu wa kifalme unaotumia Kodi zao kifahari milele na milele.
Kwa muktadha huo hakuna sababu ya kuwepo ukosoaji wa aina yoyote,sio?
 
Unajuwa serikali inasiri sana ila nataka kuamini lisu anapaswa kujifunza kwa khashoghi. hawaishi never ever.
 
Uelewa wako una mashaka, hivi unajuwa ni waafrika wangapi walikufa bahari ya attrantic wakati wakati wakisafirishwa kama watumwa kwenda amerika kufanya kazi za uzalishaji? Unamfahamu Mkwawa na alivyokufa? Unamfahamu gadaff, Nkrumah, lumumba, mashel, Saadam n.k walivyokufa?
Hizi ni submission and submission is not evidence!
 
Back
Top Bottom