Nadhani Tundu Lissu anakosea hapa

Nadhani Tundu Lissu anakosea hapa

Lissu ameshajitambulisha kama mgombea urais wa 2020, kwa uzoefu wa siasa za kiafrika ni vigumu kwake hata kusifia machache ambayo anajua ni mazuri. Wale ambao wanaguswa na hayo mazuri wataonyesha kuguswa kwao siku watakayokwenda kupiga kura.

Lissu anatumia political strategies, ambazo yeye anaona ni nzuri. Kama kweli ni nzuri au sio nzuri majibu yatapatikana 2020 siku ya uchaguzi.
Squatter tu hilo lissumsaliti, hana lolote, alikuwa anatafuta pochi za mashoga tu walahi
Sasa wamemshtukia, ulooofaaa
 
Ungekuwa na akili ungetambua kuwa Lissu hajapinga hata moja katika hayo uayotaja, Lissi sio mjinga kama nyie wapiga vigelegele.

Lissi anapinga Ubinywaji wa haki za bindamu, Muaji, utekwaji, utesaji, vitosho dhidi ya uhuru wa habari, uchotaji fedha za miunfo mbinu na.ununuzi wa ndege bila.mpangilio, utungwaji wa sheria za kikoloni. Kuminya haki na maslahi ya wafanyakazi. Udikteta uchwara.
Ununuzi wa ndege kwa cash kuna ufisadi wa kutisha sana pesa nyingi imepigwa na wajanja wachache kwani bei halisi ya ndege ipo chini kuliko pesa waliyonunua kifisadi, kuna ujanja mwingi kwenye ununuzi wa ndege na hata CAG wanataka kumtoa ofisini ili kukwepa asiwaumbue kabla ya 2020.
 
Leta ushahidi kuwa wazungu wameua? Hapa ushahidi utaujua mkitoka madarakani! wazungu hawapo, leta ushahidi.una uhuru wa kufanya inquries, .... unachelewa nini?
brain washed. May google a bit to know about the actions of King Leopold of Belgium in the Congo. Then update yourself with contemporary imperialist wars killings in north Africa and the Middle East. There are hundreds (even thousands) of references of direct or indirect (knitted global economic architecture) imperialist killings against Africa. Please come to your sense.
 
brain washed. May google a bit about King Leopold of Belgium in the Congo. Then update yourself with contemporary imperialist wars killings in the north Africa and Middle East. There are hundreds (even thousands) of references of direct or indirect (knitted global economic architecture) imperialist killings against Africa. Please come to your sense.
Thse are submissions and submission is not evidence!
 
Mimi sijui kuhusu killing maana ushahidi sina nikiambiwa niseme nani amewaua au wapoteza. Ila ninchofahamu tulikuwa maskini tangu tupate Uhuru miaka 50 iliyopita, kama hao wanaopotea ni sehemu ya mkakati wa kupambana na ukoloni mamboleo ili kuondokana na umaskini mbaya it is fine, wazungu wameua watu wangapi wakati wanajenga uchumi wao?
Wakuue wewe!
 
Squatter tu hilo lissumsaliti, hana lolote, alikuwa anatafuta pochi za mashoga tu walahi
Sasa wamemshtukia, ulooofaaa
Pale kwenye ushoga ndipo alipoharibu kila kitu, mpaka yule mzungu akamkazia sauti kuonyesha kuwa huyu jamaa anajua ni nini anachoongea!!.
 
Squatter tu hilo lissumsaliti, hana lolote, alikuwa anatafuta pochi za mashoga tu walahi
Sasa wamemshtukia, ulooofaaa

Ushoga ni kisingizio cha kishamba na kifala fala na Tanzania ushoga sio Tatizo kwani hauna uhusiano unyanyasaji na unyama wa Utawala mtukufu malaika toka chato, ushoga na trilion 1.5 aliyoiba vina uhusiano gani? Ushoga na kujenga chato Airport pasipo idhini ya Bunge vina uhusiano gani? Kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani vina uhusiano gani na ushoga? Acheni visingizio vya kishamba kuharalisha udikiteta wenu.
 
Tatizo la makamada wa Ufipa ni uwezo ndogo wa kufikiri na kuelewa mambo kwa marefu na mapana badala ya kujiaminisha hata kisichokuwepo [hewa]. Eti BBC HardTalk imetoa mwaliko kwa JPM kufanya interview, this is ridiculous! BBC haiendeshwi hivyo, lest ingekuwa imepoteza integrity kitambo sana. Eti watazamaji wa Hardtalk wanaokadiriwa kufikia milioni 350 duniani kote ni wafuasi wa Lissu [sick]. Who cares mambo ya mtaa wa Ufipa? Pengine tujue kuwa kati ya watazamaji hao, ni 0.0001% tu ndio wanaojua na kufuatilia siasa za Tanzania, achilia mbali kushabikia siasa za Ufipa! Climax ya Siasa ni uchaguzi, sasa ni wangapi kati ya hao watazamaji milioni 350 ni potential voters kwenye chaguzi za Tanzania [2020]? Au niulize kwa njia nyingine, ni Watanzania wangapi, wapiga kura, mashabiki wa Ufipa wanaojua Kiingereza waliotazama HardTalk na kisha wakatoa approval rating ya juu kwa Tundu Lissu? Men think correctly!

Secondly, makamanda hata hawajui kuwa Lissu is nothing before a state president whose policy decisions change entire business, social and economic landscape of not only Tanzanian but also global entities with connections in Tanzania. Ukitaka ku-deal na ku-vanquish serikali iliyopo madarakani unatakiwa kuwa makini sana. Siyo reckless actions au janja-janja kama za akina Mbowe. Hutakiwi kutoa na kuwapa kisingizio chochote cha kisheria kwa serikali unayopambana nayo. Bunge halijasema halitambui Tundu Lissu kupigwa risasi, kuumizwa na kupelekwa hospitalini - Dodoma NH, Nairobi NH na hatimaye Brussels. Bunge linasema kuna viashiria kuonesha kuwa Tundu Lissu amepona na kwamba muda huu anatakiwa kuwa hapa nchini, isipokuwa kwa taarifa za kitabibu. Hili ni suala la kisheria kwamba madakatari wake waoneshe kuwa Tundu Lissu anastahili kuendelea kuwa hospitalini nje ya nchi kwa matibabu. Na iwapo Tundu Lissu bado anaumwa basi hatatarajiwa kwenda excursions kama alivyofanya juzi BBC. Kwa common sense tu ni kuwa mgonjwa hatarajiwi kwenye excursions isipokuwa akiwa amepona. Lest Lissu will be considered as having absconded the parliament!

Waswahli husema ndege mjanja hunaswa na tundu bovu Mbowe tayari anajua maana na methali hii Tundu Lissu asirudie kosa hili atajuta na kusaga meno.
 
Tayari uhakika wa maisha kwa siku unasoma vizuri, bado notification ya njwenjwe
Mimi sijui kuhusu killing maana ushahidi sina nikiambiwa niseme nani amewaua au wapoteza. Ila ninchofahamu tulikuwa maskini tangu tupate Uhuru miaka 50 iliyopita, kama hao wanaopotea ni sehemu ya mkakati wa kupambana na ukoloni mamboleo ili kuondokana na umaskini mbaya it is fine, wazungu wameua watu wangapi wakati wanajenga uchumi wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale kwenye ushoga ndipo alipoharibu kila kitu, mpaka yule mzungu akamkazia sauti kuonyesha kuwa huyu jamaa anajua ni nini anachoongea!!.

Kwenye ushoga Tundu Lisu alisema Maisha binafsi ya watu wawili kama yanaleta kero ndiyo inakuwa Tatizo lakini hakutaka kuongea zaidi au kufagilia ushoga kwani hauna uhusiano na Uonevu udikteta na Blackmail za Bashite na mtukufu magufuli.
 
Lissu ameshajitambulisha kama mgombea urais wa 2020, kwa uzoefu wa siasa za kiafrika ni vigumu kwake hata kusifia machache ambayo anajua ni mazuri. Wale ambao wanaguswa na hayo mazuri wataonyesha kuguswa kwao siku watakayokwenda kupiga kura.

Lissu anatumia political strategies, ambazo yeye anaona ni nzuri. Kama kweli ni nzuri au sio nzuri majibu yatapatikana 2020 siku ya uchaguzi.
Uchaguzi uko wapi ?! Tume ya wakurugenzi wa halmashauri, walioapishwa na kuambiwa nione mtu anamtangaza mpinzani. Kwa sababu tu wanalipwa mishahara, posho nzuri, gari na nyumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni nchi masikini sana, tangu tupate Uhuru hatujawahi kuwa na nafuu, hata Rais Magufuli ameikuta hivyohivyo ikiwa na hali mbaya. Sio siri, wote tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondoka kipumbavu wakati wanaliachia bara la Africa ikiwemo Tanzania yetu. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia njia mbali kuendelea kupata malighafi, masoko ya bidhaa zao, na nguvukazi. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia mafariki zao ambao sisi tunawaamini sana kama vile viongozi maarufu, watu maarufu, mashirika ya hisani, mashirika na taasisi za kidini, viongozi wa vyama vya siasa, wanaharakati, WB, IMF, WTO na majasusi kufanikisha adhima zao hizo.

Rais Magufuli ameamua kujilipua na kutumia uncommon sense kutatua common problems zinalolikumba bara lote la Africa hasa kusini mwa jangwa la Sahara. Maana huwezi kutumia common sense kutatua common problems yaliyowashinda Marais wenzako waliokutangulia. Hata wazungu walitumia uncommon sense kufika pale walipofika, uncommon sense yao Ndiyo iliyowatuma watutawale, watufanye watumwa, watufanyishe kazi nyingi bila ujira, kuua Marais wetu waliopinga kunyonywa nk.

Tundu Lissu hakupaswa kupinga kila kitu cha Rais Magufuli kwakuwa vitu ambavyofanya kamavile kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa, kukamata wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya, kuwaondoa viongozi wasiowajibaka, kujenga miundombinu ya kisasa kama barabara, madaraja na reli, elimu bure , kufufua shirika la ndege na reli, nk. hivi vyote vinaonekana hadharani Kwa watanzania na wasiokuwa watanzania.

Tundu Lissu anapaswa ku acknowledge mazuri na ku condemn mabaya, hapo kila mtu angemuelewa. Rais wetu kuna vitu anavifanya kinyume kabisa na matarajio ya wakoloni tusipomsaidia sio Tu atapandwa na hasira lakini tunaweza kuhatarisha uhai wake Kwa ajili yetu sote.
Hata wademocratics wana vitu wanamkosoa Trump lakini kuna vitu hawezi kumkosoa navyo kwakuwa ni kwamanufaa ya Yao wote
Mtu aliyewahi kumkashfu baba wa Taifa tena akiwa ametangulia mbele za haki, hawezi kuwa na akili timamu. TL atateseka sana, mwenyezi Mungu kaamua kumuweka hai ili ayashuhudie mateso yake mwenyewe
 
Mtu aliyewahi kumkashfu baba wa Taifa tena akiwa ametangulia mbele za haki, hawezi kuwa na akili timamu. TL atateseka sana, mwenyezi Mungu kaamua kumuweka hai ili ayashuhudie mateso yake mwenyewe
Acha ungese wewe Lisu hakumkashifu Baba wa Taifa bali alisema mapungufu yake kama binadamu ambacho ni kitu cha kawaida, kumbuka kwenye Hotuba za Nyerere mwenyewe husema ikiingia Serikali mpya inachukua mazuri na kuacha mabaya lakini hata mazuri mnayawekea maswali? Rejea hotuba za Nyerere utajua alikubali mapungufu yake mwenyewe pasipo shinikizo, Mungu yupi unayemsemea? Kama ni mungu wa wote hawezi kumweka hai mtu ashuhudie mateso ya CCM mateso ya makusudi, yaani umempiga Risasi makusudi unadai mungu ndiyo kasema ashuhudie? Acha mifano yako ya kishamba toka kolomije na chato.
 
Tanzania ni nchi tajiri dunian kwa rasilimali lakn n nchi masikin sana kwa wat wenye akili za Ku utilize rasilimal ilizonanzo hapo ntakuelewa ather wise kasome

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajie nchi ya africa kusini mwa jangwa la sahara yenye afadhali kubwa sana kiuchumi kuliko Tanzania. Wewe unadhani hawa viongozi wote wanakaa pamoja na kupatana nchi zao ziwe ombaomba? Kufikiria hivyo sio sawasawa hata kidogo, hapo lazima ipo a common factor ambayo iko Afrika kusini mwa jangwa la sahara tu ambayo haipo Afrika kaskazini, Ulaya, Asia, na Marekani inayowaathiri hawa viongozi wote wa kusini mwa jangwa la Sahara.

Sasa sisi wasomi wachache ambao tumebahatika kupata elimu ya kimagharibi tuache kugeuka kuwa vibaraka wa nchi za magharibi kuwatumikia magharibi kuzihujumu nchi zetu na rasilimali zake, badala yake tuwasaidie watawala wetu namna ya kuvivuka vikwazo vilivyowekwa na wakoloni kabla na baada ya kuondoka kutuachia uhuru bandia. Hakuna Rais kusini mwa jangwa la sahara ataleta maendeleo kwa njia ya demokrasia pana kwa watru wake.

Mfano, wamissionaries walikuja na kuishi vizuri na wakoloni wetu, wakati wakoloni walipokuwa wana siphon rasilimali zetu kuzipeleka kwao wao walikuwa kimya, wakati akina Mkwawa wanauwa wao wapo lakini walikuwa kimya, wakati wakoloni wanawanyanyasa akina Mzee Nyerere na wenzake wakati wanadai uhuru wamisionaries walikuwepo lakini walikaa kimya, wakati IMF, WB, TWO zinaundwa na mikopo ya kinyonyaji kwa afrika ikitolewa wapo lakini walikaa kimya, nk. nk. Wakoloni (ndugu zao na rafiki zao) waliondoka lakini wao wakabaki na tuko nao. Je, hawa walifurahi au walichukia ndugu na rafiki zao (wakoloni) kuondolewa Afrika?.

1. Ukiangalia nchi ambazo ni masikini sana na zenye migogoro mingi sana kusini mwa jangwa la Sahara ni zile zinge taasisi za kidini ambazo ziko very strong kama vile DR Congo, Zambia, Malawi, uganda, Tanzania, Kenya, Zimbabwe, South Afrika, Somalia, Afrika ya kati, nk. Angalia nchi kama Rwanda ambako Kagame anawahenyesha watu wa dini mabo yake yanayovyokwenda shashaaa

2. Nchi ambazo ni Masikini sana kusini mwa jangwa la sahara ni zile ambazo zina mfumo mpana wa demokrasia. Demokrasia na Lesa fair haijawahi kuzaa matunda ya haraka kwenye uzalishaji na maendeleo kama Autocratic/Authoritative/Dictatorship hasa kwa wananchi ambao ni maskini na wenye elimu haba. Nchi kama Rwanda inayopigiwa mfano kwa kupiga hatua kiuchumi na kimaendeleo, usafi rais wake anatumia autocaratic/dictatorship ("do what I say" ) katika kufanikisha mambo.

3. Na msingi mkubwa wa authoritative leadership ni matumizi ya uncommon sense. matumizi ya Uncommon sense ndiyo yaliyosababisha kupatikana hata viongozi na wabunge wa vyama vya upinzani. Vyama vyetu vya siasa na wafuasi wake wengi hawana impact kwasababu wengi wao wanatumia their common sense kushindana na chama tawala, wale tu wanaotumia uncommon sense kama akina Mbowe, Mdee, Lissu, Zitto, Bulaya, nk ndiyo wanaolichangamsha bunge na ikiwezekana nchi nzima. Hivyo tuko nyuma kiuchumi kwakuwa wananchi wetu wengi bado wanatumia common sense katika maisha na kudai maisha bora kwa watawala wao tofauti na watu wa Ulaya, Marekani na Asia n.k wanaoweza kudai maisha bora kwa ikibidi hata kwa kufa, kuchoma magari, nyumba, nk.
 
Killing people by whom! Upuuzi mtupu. Mbona wewe au ndugu yako hawajauliwa?

Kupigwa risasi kwa Lissu kwa sababu anazozijua mwenyewe ndiyo iwe jumuisho ya hoja zako?

Kupotezana watu kwa sababu za kibinafsi, ndiyo hitimisho la hoja zako?

Mtabaki kubwatabwata kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari wakati ule ule mkifaidika na maendeleo yanaonekana nchini, chini ya uongozi wa Rais Magufuli.

Naamini ndani ya mioyo yenu mnaumia, kama hao mabwana zenu huko ulaya, mnaposhuhudia mageuzi makubwa ya kiuchumi nchini.
wewe wacha uharoo wako nchi hii imefikishwa hapa na CCM full stop. ebu tizama nchi nyingine kama korea , Malaysia , vietnam, singapore.Tanzania muna nini ni zogo tu hamuna lolote leo ni miaka 58 ya ccm kutawala hata maji ya kunywa hakuna halafu unatuletea porojo kwa kweli watanzani wana kila haki yakuombwa radhi na CCM kwa uchama waliofanyiwa na ccm.
 
Rubbish, as long as it involves killing people, i.e loss of lives e.g MKIRU, Coco bech, Ben Saanane,killing our beloved ones, eti ni kuleta maendeleo, whaterver "good" he might be doing, if at are there, goes to the trush, down by the trench!


kabla ya kupost utumbo wako, please jaribu kupitia tena uzi wako, haueleweki hata kidogo.
 
Back
Top Bottom