Nadhani Tundu Lissu anakosea hapa

Nadhani Tundu Lissu anakosea hapa

Hebu mwambie, hata hii jf tunayoitumia hapa kutoa maoni yetu ni Uhuru wa kutoa maoni. Kama serikali ingetaka ingeifungia hata hii, we veepe! Uhuru sio kusema chochote bro
Wamekalilishwa bila wao kujiongeza analalamika kwamba hana uhuru wa kutoa maoni hapo hapo anatoa maoni bila bughudha.

Hata akitokea malaika kuwa rais bado tutalalamika tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijui kuhusu killing maana ushahidi sina nikiambiwa niseme nani amewaua au wapoteza. Ila ninchofahamu tulikuwa maskini tangu tupate Uhuru miaka 50 iliyopita, kama hao wanaopotea ni sehemu ya mkakati wa kupambana na ukoloni mamboleo ili kuondokana na umaskini mbaya it is fine, wazungu wameua watu wangapi wakati wanajenga uchumi wao?
Ufe wewe na ukoo wako ili tungeneze uchumi wa tz
 
Hakuna kitu kibaya kama kuidanganya nafsi. Lissu wazungu unaowaona kama miungu hawatakusaidia kwa lolote.
Time will tell....hakuna namna mzungu akamtoa mwafrika bila kuwa na interest zake

..TL angesaidiwa na serekali na bunge asingefika huko kwa wazungu kulalamika.

..Polisi wangeonyesha juhudi na weledi ktk kufanya uchunguzi TL asingei-suspect serekali kutaka kumuua.

..Mwaka na nusu umepita tangu TL ashambuliwe na hakuna majibu toka Polisi. Hivi hamfikiri waliomshambulia TL wanaweza kufanya hivyo kwa wengine?

..Kwa maoni yangu wanaoiabisha nchi na wale waliomshambulia na hawa wanaomtendea ubaya sasa hivi. TL ana haki zote za kulalamika popote atakapopewa nafasi.
 
Mimi sijui kuhusu killing maana ushahidi sina nikiambiwa niseme nani amewaua au wapoteza. Ila ninchofahamu tulikuwa maskini tangu tupate Uhuru miaka 50 iliyopita, kama hao wanaopotea ni sehemu ya mkakati wa kupambana na ukoloni mamboleo ili kuondokana na umaskini mbaya it is fine, wazungu wameua watu wangapi wakati wanajenga uchumi wao?
Acha longolongo lipeni korosho za wakulima wa kusini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru Gani wa kujieleza mbweha mkubwa Ww? Hapa kujieleza unashindwa nn??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha akili zenu kama mama yenu, mkilelewa na mama zenu mnadhani hamna baba, kamuulize mama yako, kwamba baba yako nani na yuko wapi, badala ya kuwa na hasira za hovyo hovyo kama hizi.
 
Tanzania ni nchi masikini sana, tangu tupate Uhuru hatujawahi kuwa na nafuu, hata Rais Magufuli ameikuta hivyohivyo ikiwa na hali mbaya. Sio siri, wote tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondoka kipumbavu wakati wanaliachia bara la Africa ikiwemo Tanzania yetu. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia njia mbali kuendelea kupata malighafi, masoko ya bidhaa zao, na nguvukazi. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia mafariki zao ambao sisi tunawaamini sana kama vile viongozi maarufu, watu maarufu, mashirika ya hisani, mashirika na taasisi za kidini, viongozi wa vyama vya siasa, wanaharakati, WB, IMF, WTO na majasusi kufanikisha adhima zao hizo.

Rais Magufuli ameamua kujilipua na kutumia uncommon sense kutatua common problems zinalolikumba bara lote la Africa hasa kusini mwa jangwa la Sahara. Maana huwezi kutumia common sense kutatua common problems yaliyowashinda Marais wenzako waliokutangulia. Hata wazungu walitumia uncommon sense kufika pale walipofika, uncommon sense yao Ndiyo iliyowatuma watutawale, watufanye watumwa, watufanyishe kazi nyingi bila ujira, kuua Marais wetu waliopinga kunyonywa nk.

Tundu Lissu hakupaswa kupinga kila kitu cha Rais Magufuli kwakuwa vitu ambavyofanya kamavile kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa, kukamata wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya, kuwaondoa viongozi wasiowajibaka, kujenga miundombinu ya kisasa kama barabara, madaraja na reli, elimu bure , kufufua shirika la ndege na reli, nk. hivi vyote vinaonekana hadharani Kwa watanzania na wasiokuwa watanzania.

Tundu Lissu anapaswa ku acknowledge mazuri na ku condemn mabaya, hapo kila mtu angemuelewa. Rais wetu kuna vitu anavifanya kinyume kabisa na matarajio ya wakoloni tusipomsaidia sio Tu atapandwa na hasira lakini tunaweza kuhatarisha uhai wake Kwa ajili yetu sote.
Hata wademocratics wana vitu wanamkosoa Trump lakini kuna vitu hawezi kumkosoa navyo kwakuwa ni kwamanufaa ya Yao wote

Hata Mugabe mlimsifia hivi hivi kuhusu watu mnaowaita wakoloni sasa hizi Zimbabwe [emoji1269] kununua mkate unaenda na [emoji403] la pesa super market mkate mmoja box zima
 
Wakati mwingine tumia ubongo wako sawasawa na kama unaona Tundu Lissu kakosea pinga hoja waziwazi kuliko kutoa hoja ya jumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I found this on bbc website. Ni kwl au?
Screenshot_20190122-163110.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Killing people by whom! Upuuzi mtupu. Mbona wewe au ndugu yako hawajauliwa?

Kupigwa risasi kwa Lissu kwa sababu anazozijua mwenyewe ndiyo iwe jumuisho ya hoja zako?

Kupotezana watu kwa sababu za ukibinafsi, ndiyo hitimisho la hoja zako?

Mtabaki kubwatabwata kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari wakati ule ule mkifaidika na maendeleo yanaonekana nchini, chini ya uongozi wa Rais Magufuli.

Naamini ndani ya mioyo yenu mnaumia, kama hao mabwana zenu huko ulaya, mnaposhuhudia mageuzi makubwa ya kiuchumi nchini.
Acha kutoka povu makalioni. Ukichunguza hao wote waliouawa,waliotekwa,na waliojeruhiwa utagundua walikuwa watu wenye mawazo mbadala juu ya serikal ya jiwe inavyoendesha nchi. Lumumba mnateseka kumtetea malaika kafiri wenu. Mnakuja na hoja nyepes kama tishu ya chooni.
 
Tanzania ni nchi masikini sana, tangu tupate Uhuru hatujawahi kuwa na nafuu, hata Rais Magufuli ameikuta hivyohivyo ikiwa na hali mbaya. Sio siri, wote tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondoka kipumbavu wakati wanaliachia bara la Africa ikiwemo Tanzania yetu. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia njia mbali kuendelea kupata malighafi, masoko ya bidhaa zao, na nguvukazi. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia mafariki zao ambao sisi tunawaamini sana kama vile viongozi maarufu, watu maarufu, mashirika ya hisani, mashirika na taasisi za kidini, viongozi wa vyama vya siasa, wanaharakati, WB, IMF, WTO na majasusi kufanikisha adhima zao hizo.

Rais Magufuli ameamua kujilipua na kutumia uncommon sense kutatua common problems zinalolikumba bara lote la Africa hasa kusini mwa jangwa la Sahara. Maana huwezi kutumia common sense kutatua common problems yaliyowashinda Marais wenzako waliokutangulia. Hata wazungu walitumia uncommon sense kufika pale walipofika, uncommon sense yao Ndiyo iliyowatuma watutawale, watufanye watumwa, watufanyishe kazi nyingi bila ujira, kuua Marais wetu waliopinga kunyonywa nk.

Tundu Lissu hakupaswa kupinga kila kitu cha Rais Magufuli kwakuwa vitu ambavyofanya kamavile kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa, kukamata wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya, kuwaondoa viongozi wasiowajibaka, kujenga miundombinu ya kisasa kama barabara, madaraja na reli, elimu bure , kufufua shirika la ndege na reli, nk. hivi vyote vinaonekana hadharani Kwa watanzania na wasiokuwa watanzania.

Tundu Lissu anapaswa ku acknowledge mazuri na ku condemn mabaya, hapo kila mtu angemuelewa. Rais wetu kuna vitu anavifanya kinyume kabisa na matarajio ya wakoloni tusipomsaidia sio Tu atapandwa na hasira lakini tunaweza kuhatarisha uhai wake Kwa ajili yetu sote.
Hata wademocratics wana vitu wanamkosoa Trump lakini kuna vitu hawezi kumkosoa navyo kwakuwa ni kwamanufaa ya Yao wote
Suala si mambo mazuri yanayofanyika kwamba yanapaswa kupongezwa tu, suala ni kwamba je haya mazuri yanafanyikaje??

Waweza kuwa na mawazo mazuri kama ya Mugabe ya kutaka rasilimali ziwanufaishe wananchi lakini approach yako ikawa kuwanyang'anya wenye uwezo wa kuyaendesha mashamba kisasa na kwa teknojia ili uwape maskini ambao bahati mbaya hawataweza kuyaendeleza.

Huo ni mfano tu.
 
Tanzania ni nchi masikini sana, tangu tupate Uhuru hatujawahi kuwa na nafuu, hata Rais Magufuli ameikuta hivyohivyo ikiwa na hali mbaya. Sio siri, wote tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondoka kipumbavu wakati wanaliachia bara la Africa ikiwemo Tanzania yetu. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia njia mbali kuendelea kupata malighafi, masoko ya bidhaa zao, na nguvukazi. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia mafariki zao ambao sisi tunawaamini sana kama vile viongozi maarufu, watu maarufu, mashirika ya hisani, mashirika na taasisi za kidini, viongozi wa vyama vya siasa, wanaharakati, WB, IMF, WTO na majasusi kufanikisha adhima zao hizo.

Rais Magufuli ameamua kujilipua na kutumia uncommon sense kutatua common problems zinalolikumba bara lote la Africa hasa kusini mwa jangwa la Sahara. Maana huwezi kutumia common sense kutatua common problems yaliyowashinda Marais wenzako waliokutangulia. Hata wazungu walitumia uncommon sense kufika pale walipofika, uncommon sense yao Ndiyo iliyowatuma watutawale, watufanye watumwa, watufanyishe kazi nyingi bila ujira, kuua Marais wetu waliopinga kunyonywa nk.

Tundu Lissu hakupaswa kupinga kila kitu cha Rais Magufuli kwakuwa vitu ambavyofanya kamavile kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa, kukamata wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya, kuwaondoa viongozi wasiowajibaka, kujenga miundombinu ya kisasa kama barabara, madaraja na reli, elimu bure , kufufua shirika la ndege na reli, nk. hivi vyote vinaonekana hadharani Kwa watanzania na wasiokuwa watanzania.

Tundu Lissu anapaswa ku acknowledge mazuri na ku condemn mabaya, hapo kila mtu angemuelewa. Rais wetu kuna vitu anavifanya kinyume kabisa na matarajio ya wakoloni tusipomsaidia sio Tu atapandwa na hasira lakini tunaweza kuhatarisha uhai wake Kwa ajili yetu sote.
Hata wademocratics wana vitu wanamkosoa Trump lakini kuna vitu hawezi kumkosoa navyo kwakuwa ni kwamanufaa ya Yao wote

Sikia ipo hivi,, vitu vinavyofanyika ambavyo ww unaviona ni maendelea vinafanyika kinyume na taratibu... Iko hivi swala la kufufua shilika la ndege sio jambo baya ila unatakiwa ufaham kila kitu lazima taratibu zizingatiwe

Tatizo la jiwe anaighalim selikali kwa kununua ndege used ambazo ni mbovu ambazo hazileti faida ni hasara juu ya hasara...

Tatizo la jiwe anafnya vitu kwa maamuzi finafsi wakati nchi haiendeshwi hivoo...

Kitu kingine,,,
Tufanye kama ndo ww unaulizwa maswali kumuhusu mtu ambaye alithubutu kukushambulia kigaidi kabisa na haitaji uwepo wako kwa ghalama yeyeto ile!! ebu fany kama unaligeuzia ilo kwako mkuu!!! afu uone
 
Ufe wewe na ukoo wako ili tungeneze uchumi wa tz
Mbona wewe na mkeo hamkufa wala kutekwa? au tuambie unatarajia kutekwa lini? watu wanaokufa na kutekwa walikuwapo kwenye awamu zote na wapo kwenye mataifa yote duniani hata yaliyoendelea, kule ulaya wapo wanaopigana risasi, wanawekeana sumu, wanao kufa maji nk. hapa kwetu tunataka kuaminishwa kuwa kila anayekufa kauawa na serikali, huu ni upuuzi. Mbona hatusemi mauaji ya kibiti ni serikali inaua askari polisi wake na viongozi wa vijiji?
 
..TL angesaidiwa na serekali na bunge asingefika huko kwa wazungu kulalamika.

..Polisi wangeonyesha juhudi na weledi ktk kufanya uchunguzi TL asingei-suspect serekali kutaka kumuua.

..Mwaka na nusu umepita tangu TL ashambuliwe na hakuna majibu toka Polisi. Hivi hamfikiri waliomshambulia TL wanaweza kufanya hivyo kwa wengine?

..Kwa maoni yangu wanaoiabisha nchi na wale waliomshambulia na hawa wanaomtendea ubaya sasa hivi. TL ana haki zote za kulalamika popote atakapopewa nafasi.
I agree with you. But it would be a fatal mistake to think you can win the battle from the hideout.

Sijui sana, ila the bigger impact haiko huko anakohangaika. Kama kuna kitu kitabadilika sio huko anakotupa ngumi zake.

Ni mtoto wa Tanzania. That will never change. Kama enzi zile za USSR na hata leo Russia...This is our motherland!
 
..Niko na wewe 100%.

..kuna maswali ambayo wanaomshambulia TL hawajiulizi?

..Je, wewe ungekuwa Raisi au Spika ungefanya nini wakati wa tukio la TL?

..Je, ungefanya hivi ambavyo Magufuli na Ndugai wamefanya kwa TL?

..Hivi Ndugai alishindwa kumpigia simu Raisi kumwambia, nahitaji ndege ya serekali, mbunge wangu yuko hatarini kukata roho, familia wananililia nimpeleke Nairobi.

..Kwa upande wa Raisi, hapa nazungumzia TAASISI nzima, hivi walihitaji kuombwa ili wampeleke TL hospitali waliyochagua ndugu zake?

..Mimi nilitegemea kipindi TL yuko Dodoma Hospital, Magufuli, Ndugai, Majaliwa, na Mbowe, wangeweka vichwa vyao pamoja, jinsi ya kumsaidia TL.

..Zaidi, kulikuwa na muda mrefu wa kurekebisha MAKOSA. Kipindi ambacho Mbowe alikuwa Nairobi kabla hajarudi na kuzoza mbovu kilikuwa kinatosha kwa upande wa Raisi na Spika kurekebisha makosa yaliyofanyika.

..Tuko katika hali hii tuliyonayo kwasababu hayo niliyoyaeleza hapo juu hayakufanyika. Kadiri muda unavyokwenda naona CHUKI ikiongezeka dhidi ya mtu ambaye anastahili msaada.

..Naamini ni rahisi kwa Serekali na Bunge kumsaidia TL kuliko kutumia nguvu na muda kumchafua na kumdhalilisha.

Cc Mag3, Pascal Mayalla, Bu'yaka , Nguruvi3
 
Mbona wewe na mkeo hamkufa wala kutekwa? au tuambie unatarajia kutekwa lini? watu wanaokufa na kutekwa walikuwapo kwenye awamu zote na wapo kwenye mataifa yote duniani hata yaliyoendelea, kule ulaya wapo wanaopigana risasi, wanawekeana sumu, wanao kufa maji nk. hapa kwetu tunataka kuaminishwa kuwa kila anayekufa kauawa na serikali, huu ni upuuzi. Mbona hatusemi mauaji ya kibiti ni serikali inaua askari polisi wake na viongozi wa vijiji?
Yawezkana wewe ndiye mshirki wa mipango ya kibiti ikiwa ni maandilizi ili baadae mpate maala pa kuegemea
 
Back
Top Bottom