Nadhani Tundu Lissu anakosea hapa

Nadhani Tundu Lissu anakosea hapa

Ndio maana nakwambia your IQ is very low. Wachaga waliwekwa na rais Mchaga? Do you see what I mean?
Mkapa alipojenga lile daraja lililowashinda Marais wote kule nangurukuru mbona hukuhoji? Rais Kikwete alipojenga Bagamoyo na barabara na bandari zake mbona hukuhoji?
 
Mkapa alipojenga lile daraja lililowashinda Marais wote kule nangurukuru mbona hukuhoji? Rais Kikwete alipojenga Bagamoyo na barabara na bandari zake mbona hukuhoji?
Kwa vile wengine wameiba na wewe uibe?
 
Sasa mleta mada ukishasema kuwa Jiwe kaamua kutumia UNCOMMON SENSE unamharibia!.

Nani anataka kuongozwa na mtu asiyetumia Common sense?
Aaaah, my friend watu wote waliofanikiwa n wale waliotumia uncommon sense zao. Yaani common sense inakwambia jua ni Kali nenda kapunzike kivulini, lakini uncommon sense inakwambia endelea kulima Tu hata na jua Kali ili upate shamba kubwa Kwa siku chache kabla mvua hazijanyesha. Rais kama atatumia common sense Tanzania itabaki nyuma kama nchi nyingine Tu za Africa.
 
Kwa vile wengine wameiba na wewe uibe?
Hata chato ni Tanzania kuna wapiga kura, kumbuka hata Rais ni mbunge kwenye eneo lake. Hivi unaoona ni sawa Kwa Moshi kuwa na uwanja wa ndege, reli na barabara nzuri tangu Uhuru lakini sio chato, huo ni upuuuzi sawa na upuuuzi mwingine tyuu. Tutafute hoja zenye maana za kumlaumu mtu. Kama uwanja ungejengwa Rombo isingekuwa sheeda nadhani
 
Kuna rais mchaga? Wewe ukoje kichwani? Huyu ni Rais wa Tanzania. Catering for whole tanzania. it is not fair to be one sided!
 
Wapi amesema anapinga kila kitu? Ulisikiliza vizuri interview yake?
nakuhakikishia kuwa hakusikiliza,
na kama alisikiliza basi hakuelewa,
sio hakuelewa kwa sababu ya kelele zilizokuwepo nyumbani kwao,bali hakuelewa kwa sababu ya lugha ,
na hii ndio tatizo ya wana lumumba wengi.
 
Aaaah mkuu ww ndiye hukuelewa pale, hata mwandishi w habari aliyekuwa anamhoji TL kwenye kipindi chake cha Hard Talk alikuwa akimshangaa kwanini mwanasheria nguli anatoa tuhuma nzito kama zile bila kuwa na ushahidi wa kutosha? Aliendelea kumkumbusha mambo mazuri anayoyafanya Magufuli kwenye miundombinu, ulipaji kodi, ufisafi na hata kuondoa wafanyakazi hewa. Hii inaonyesha kuwa wazungu wanakunwa na hatua za Magufuli kuliko Lissu.

Mimi nilitarajia tl aseme kwa sauti mazuri na mabaya ya rais hasa Yale yenye ushahidi. Atumie lugha ya kawaida Tu kuelezea dunia na sio Kwa sauti ya jaziba. Kuna nchi zinaomba wapate rais kama Magufuli ndio maana hata mwandishi alikuwa akimkatisha kila mara ili kipindi chake kisije kikaonekana cha hovyo. Hakutegemea kama tl angeongea vitu visivyokuwa na ushahidi kiasi kile. Alikuwa akimrejesha kwenye mstari kila wakati ili angalau aweze kuambulia chochote.

Nobody says Magufuli is perfect for everything, but his time is too tough and heavy. The country was full of all sources of evils, from corruption to grand thefts, no order.
 
kwa hiyo wewe ulitaka atoe ushahidi pale ,aweke makaratasi ,picha,video ,vinasa sauti ama,pale ni mahakama?,unadhani mtangazaji mjinga,hajui kua nani walimshambulia lisu?,hajui kama vyama vya siasa vimepigwa ban? hajui kua mbowe yuko lupango?
 
Tanzania ni nchi masikini sana, tangu tupate Uhuru hatujawahi kuwa na nafuu, hata Rais Magufuli ameikuta hivyohivyo ikiwa na hali mbaya. Sio siri, wote tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondoka kipumbavu wakati wanaliachia bara la Africa ikiwemo Tanzania yetu. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia njia mbali kuendelea kupata malighafi, masoko ya bidhaa zao, na nguvukazi. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia mafariki zao ambao sisi tunawaamini sana kama vile viongozi maarufu, watu maarufu, mashirika ya hisani, mashirika na taasisi za kidini, viongozi wa vyama vya siasa, wanaharakati, WB, IMF, WTO na majasusi kufanikisha adhima zao hizo.

Rais Magufuli ameamua kujilipua na kutumia uncommon sense kutatua common problems zinalolikumba bara lote la Africa hasa kusini mwa jangwa la Sahara. Maana huwezi kutumia common sense kutatua common problems yaliyowashinda Marais wenzako waliokutangulia. Hata wazungu walitumia uncommon sense kufika pale walipofika, uncommon sense yao Ndiyo iliyowatuma watutawale, watufanye watumwa, watufanyishe kazi nyingi bila ujira, kuua Marais wetu waliopinga kunyonywa nk.

Tundu Lissu hakupaswa kupinga kila kitu cha Rais Magufuli kwakuwa vitu ambavyofanya kamavile kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa, kukamata wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya, kuwaondoa viongozi wasiowajibaka, kujenga miundombinu ya kisasa kama barabara, madaraja na reli, elimu bure , kufufua shirika la ndege na reli, nk. hivi vyote vinaonekana hadharani Kwa watanzania na wasiokuwa watanzania.

Tundu Lissu anapaswa ku acknowledge mazuri na ku condemn mabaya, hapo kila mtu angemuelewa. Rais wetu kuna vitu anavifanya kinyume kabisa na matarajio ya wakoloni tusipomsaidia sio Tu atapandwa na hasira lakini tunaweza kuhatarisha uhai wake Kwa ajili yetu sote.
Hata wademocratics wana vitu wanamkosoa Trump lakini kuna vitu hawezi kumkosoa navyo kwakuwa ni kwamanufaa ya Yao wote
Kwenye nchi zingine zenye wanadamu wenye akili timamu mtu anayevunja katiba ya nchi , ambayo ndiyo dira ya nchi anatakiwa kukamatwa na kufungwa jela , hii haitajalisha anavunja katiba ili iwe nini.

Mwl Nyerere aliwahi kusema hivi , nanukuu , " HATA TUKICHAGUA ASIYEAMINI MUNGU TUTATAFUTA NAMNA YA KUMUAPISHA , MAANA WAKRISTO WANATUMIA BIBLIA KUAPA NA WAISLAM WANATUMIA QURAN , NA KWAMBA NI LAZIMA AAPE KWAMBA ATAILINDA NA KUITETEA KATIBA YA TANZANIA , mwisho wa kunukuu

Hoja hapa ni kwamba anayevunja katiba ya nchi tena aliyoapa kuilinda atapingwa kwa nguvu zote hata kama atauwa wananchi wote na kubaki mwenyewe , haitawezekana kumchekea mvunja katiba kwa namna yoyote ile .
 
Hakuna kitu kibaya kama kuidanganya nafsi. Lissu wazungu unaowaona kama miungu hawatakusaidia kwa lolote.
Time will tell....hakuna namna mzungu akamtoa mwafrika bila kuwa na interest zake
 
Mimi sijui kuhusu killing maana ushahidi sina nikiambiwa niseme nani amewaua au wapoteza. Ila ninchofahamu tulikuwa maskini tangu tupate Uhuru miaka 50 iliyopita, kama hao wanaopotea ni sehemu ya mkakati wa kupambana na ukoloni mamboleo ili kuondokana na umaskini mbaya it is fine, wazungu wameua watu wangapi wakati wanajenga uchumi wao?
Kwa hiyo una maana hata kama mtu anakufa acha afe tu ili tupate maendeleo? Kweli gharama ya maendeleo yetu iwe wapinzani kupotezwa? Haki za kuishi kupotezwa? Kama ni hivyo ni bora kuwa maskini.
 
Kodi za Waiengereza zinatumika kuneemesha familia ya kifalme lakini hawahoji na nchi iko mbele kimaendeleo.

Lakini hapa kwetu Lissu anakomalia ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato, kwa kuwa tu Rais anatoka huko. Arejee nchini awawakilishe wapiga kura wake nao wapate uwanja wa ndege.
Naona umeishiwa hoja. Pole acha Lissu asonge mbele, naona sasa atawatoa Roho.

GO! GO! GO! LISSU. UMMA WA WAPENDA HAKI UKO PAMOJA NAWE.
 
kwa hiyo wewe ulitaka atoe ushahidi pale ,aweke makaratasi ,picha,video ,vinasa sauti ama,pale ni mahakama?,unadhani mtangazaji mjinga,hajui kua nani walimshambulia lisu?,hajui kama vyama vya siasa vimepigwa ban? hajui kua mbowe yuko lupango?
Mtangazaji alifahamu kuwa yale aliyokuwa akiyasema Lissu Kwa serikali yake yangeweza kumprovoke rais yeyote na serikali yoyote ile duniani iwe urusi, us, China, Congo, au Syria. Ndiyo maana alikuwa akimuonya na kumshangaa muda wote wa mazungunzo Yale.
 
Kwenye nchi zingine zenye wanadamu wenye akili timamu mtu anayevunja katiba ya nchi , ambayo ndiyo dira ya nchi anatakiwa kukamatwa na kufungwa jela , hii haitajalisha anavunja katiba ili iwe nini.

Mwl Nyerere aliwahi kusema hivi , nanukuu , " HATA TUKICHAGUA ASIYEAMINI MUNGU TUTATAFUTA NAMNA YA KUMUAPISHA , MAANA WAKRISTO WANATUMIA BIBLIA KUAPA NA WAISLAM WANATUMIA QURAN , NA KWAMBA NI LAZIMA AAPE KWAMBA ATAILINDA NA KUITETEA KATIBA YA TANZANIA , mwisho wa kunukuu

Hoja hapa ni kwamba anayevunja katiba ya nchi tena aliyoapa kuilinda atapingwa kwa nguvu zote hata kama atauwa wananchi wote na kubaki mwenyewe , haitawezekana kumchekea mvunja katiba kwa namna yoyote ile .
Hapo unaongelea habari za common sense. Lakini hata Mzee Nyerere kuna wakati mwingine alikuwa akitumia uncommon sense katika mambo mbalimbali kama vile kutumia uchumi wako kwaajili ya kulikomboa bara la African, detaintion, mwenge, nk
 
Hatuwezi kuunga mkono viroba vyenye miili ya binadamu kwa kisingizio cha maendeleo
 
Kwa hiyo una maana hata kama mtu anakufa acha afe tu ili tupate maendeleo? Kweli gharama ya maendeleo yetu iwe wapinzani kupotezwa? Haki za kuishi kupotezwa? Kama ni hivyo ni bora kuwa maskini.
Haina maana hiyo, lakini kanuni ya uchumi na siasa ni kuhakikisha kuwa unaondoa vikwazo vya kiuchumi na kisiasa Kwa njia yoyote ile kutokana na mahitaji ya wakati. Akina Mkwawa, Isike, Kinjekitile, Saadam, Gadaff, FK Kennedy, Patric lumumba ilibidi wauawe kwa maslahi ya kiuchumi ya mabeberu, kwahiyo Mzee wazungu hawakufika pale Kwa kupiga domo tyuu.
 
Back
Top Bottom