Nadhani Tundu Lissu anakosea hapa

Nadhani Tundu Lissu anakosea hapa

Tanzania ni nchi masikini sana, tangu tupate Uhuru hatujawahi kuwa na nafuu, hata Rais Magufuli ameikuta hivyohivyo ikiwa na hali mbaya. Sio siri, wote tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondoka kipumbavu wakati wanaliachia bara la Africa ikiwemo Tanzania yetu. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia njia mbali kuendelea kupata malighafi, masoko ya bidhaa zao, na nguvukazi. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia mafariki zao ambao sisi tunawaamini sana kama vile viongozi maarufu, watu maarufu, mashirika ya hisani, mashirika na taasisi za kidini, viongozi wa vyama vya siasa, wanaharakati, WB, IMF, WTO na majasusi kufanikisha adhima zao hizo.

Rais Magufuli ameamua kujilipua na kutumia uncommon sense kutatua common problems zinalolikumba bara lote la Africa hasa kusini mwa jangwa la Sahara. Maana huwezi kutumia common sense kutatua common problems yaliyowashinda Marais wenzako waliokutangulia. Hata wazungu walitumia uncommon sense kufika pale walipofika, uncommon sense yao Ndiyo iliyowatuma watutawale, watufanye watumwa, watufanyishe kazi nyingi bila ujira, kuua Marais wetu waliopinga kunyonywa nk.

Tundu Lissu hakupaswa kupinga kila kitu cha Rais Magufuli kwakuwa vitu ambavyofanya kamavile kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa, kukamata wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya, kuwaondoa viongozi wasiowajibaka, kujenga miundombinu ya kisasa kama barabara, madaraja na reli, elimu bure , kufufua shirika la ndege na reli, nk. hivi vyote vinaonekana hadharani Kwa watanzania na wasiokuwa watanzania.

Tundu Lissu anapaswa ku acknowledge mazuri na ku condemn mabaya, hapo kila mtu angemuelewa. Rais wetu kuna vitu anavifanya kinyume kabisa na matarajio ya wakoloni tusipomsaidia sio Tu atapandwa na hasira lakini tunaweza kuhatarisha uhai wake Kwa ajili yetu sote.
Hata wademocratics wana vitu wanamkosoa Trump lakini kuna vitu hawezi kumkosoa navyo kwakuwa ni kwamanufaa ya Yao wote
kila mtu ana haki ya kuchagua kusifia ama kukosoa chochote anachoona kinafaa.\

"Tundu Lissu chapa kaz" in Baba Jargen' s voice
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ametatua nini tangible?
Mwenye macho haambiwi tazama. Unajiumiza roho kwa chuki ya uchu wa madaraka. Unatamani wewe, au yeye unayemshabikia, aongoze nchi hii ili mfune utajiri wa nchi kwa faida yenu.

Mmwshindwa kutumia Ruzuku kuimarisha chama, vadala yake unatumika kuitisha mikutano ya waandishi wa habari na kuwalipa mawakili kwa kesi za kujitakia.

Watanzania wanawasubiri kwenye sanduku la kura kuwaonesha viongozi wawapendao ni nani, wapenda maendeleo au wajasiriamali wa kisiasa!

SHAME UPON YOU.
 
Hujajibu hoja! sitatukana, NO, hujajibu hoja!
 
We jamaa nilianza km kukuelewa ila kumbe hamna kitu yaan kisa wazungu waliua watu so unasupport watu wauliwe karne hii ili mradi watu wasiikosoe serikali dah bado tu na njia ndefu si tunahitaji kabita bora ambayo itakuwa na goals za taifa bila ivo tutaendelea kuwa nchi maskini mpaka yesu arudi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndugu yangu nchi hii kuna watu wametumika kutufikisha hapa tulipo, tumeibiwa, tumeingizwa mikataba mibovu, tuna watu walikwepa Kodi Kwa miaka mingi sana, kuna watu wameshirikiana na wakoloni kutufanyia Mambo mabaya Sana yakiwemo hata ya mauaji. Hivi watu kama hawa tukiwa na ushahidi nao wa kuwatosha tukiwaua ni kosa?
 
Watu maskini na wasio na elimu ukiwapa Uhuru mpana wa kutoa maoni hutiki mbali. Kama wachina ambao ni robo ya world's population kama watapewa Uhuru wa kutoa maoni China itasambaratika. Hata Marekani watu, wanasiasa, wanahabari kuna vitu ambayo wanaviacha hivyohivyo. Uingereza pamoja na elimu na Maendeleo Yao hakuna anayehoji uwepo wa ukoo mmoja Tu wa kifalme unaotumia Kodi zao kifahari milele na milele.
Huko kote uliko kutaja watu wana hoji yote uliyoyasema, sema wana minywa na wenye kulinda/kulindwa maslahi yao binafsi.
Kwani kuhoji kunaletaje umasikini?! Matajiri hutumua influence zao kupata watakacho, masikini wana minywa sana na hao ndio wewe unasema hawana elimu hivyo waendelee kusema "ndiyo mzee". Ku hoji ni human nature haina cha umasikini wala tajiri.
 
Kodi za Waiengereza zinatumika kuneemesha familia ya kifalme lakini hawahoji na nchi iko mbele kimaendeleo.

Lakini hapa kwetu Lissu anakomalia ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato, kwa kuwa tu Rais anatoka huko. Arejee nchini awawakilishe wapiga kura wake nao wapate uwanja wa ndege.
 
Ndugu yangu nchi hii kuna watu wametumika kutufikisha hapa tulipo, tumeibiwa, tumeingizwa mikataba mibovu, tuna watu walikwepa Kodi Kwa miaka mingi sana, kuna watu wameshirikiana na wakoloni kutufanyia Mambo mabaya Sana yakiwemo hata ya mauaji. Hivi watu kama hawa tukiwa na ushahidi nao wa kuwatosha tukiwaua ni kosa?
Stupid, huo ndio utawala wa sheria. Ukifanyiwa wewe utakubali? au kwa vile unanufaika na utawala huu? You must be stupid! Nani aliidhinisha kujengwa uwanja wa Chato? Huo sio wizi? Angalia wanaokali vyeo vyote vikubwa , wasukuma huo sio wizi, nani aliidhinisha manunuzi ya ndege, huo sio wizi? 1.5 trilion ziko wapi, huo sio wizi?
 
Hujajibu hoja! sitatukana, NO, hujajibu hoja!
Hoja gani za marudio yale yale ya kudai demokrasua, uhuru na haki ya kutoa mawazo wakati ndivyo hivyo unatumia kuandija humu JF.

Hoja gani za kupoteza watu au hujatoa ushahidi wowote kuhusu matukio hayo ya uzushi.
 
wewe uki acknowledge bila TL haitoishi, ni ujinga kutaka kila mtu awe upande wetu au wao; mwache TL au TL na wewe kuwa wewe kama haitoshi kuwa mwewe

Tanzania ni nchi masikini sana, tangu tupate Uhuru hatujawahi kuwa na nafuu, hata Rais Magufuli ameikuta hivyohivyo ikiwa na hali mbaya. Sio siri, wote tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondoka kipumbavu wakati wanaliachia bara la Africa ikiwemo Tanzania yetu. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia njia mbali kuendelea kupata malighafi, masoko ya bidhaa zao, na nguvukazi. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia mafariki zao ambao sisi tunawaamini sana kama vile viongozi maarufu, watu maarufu, mashirika ya hisani, mashirika na taasisi za kidini, viongozi wa vyama vya siasa, wanaharakati, WB, IMF, WTO na majasusi kufanikisha adhima zao hizo.

Rais Magufuli ameamua kujilipua na kutumia uncommon sense kutatua common problems zinalolikumba bara lote la Africa hasa kusini mwa jangwa la Sahara. Maana huwezi kutumia common sense kutatua common problems yaliyowashinda Marais wenzako waliokutangulia. Hata wazungu walitumia uncommon sense kufika pale walipofika, uncommon sense yao Ndiyo iliyowatuma watutawale, watufanye watumwa, watufanyishe kazi nyingi bila ujira, kuua Marais wetu waliopinga kunyonywa nk.

Tundu Lissu hakupaswa kupinga kila kitu cha Rais Magufuli kwakuwa vitu ambavyofanya kamavile kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa, kukamata wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya, kuwaondoa viongozi wasiowajibaka, kujenga miundombinu ya kisasa kama barabara, madaraja na reli, elimu bure , kufufua shirika la ndege na reli, nk. hivi vyote vinaonekana hadharani Kwa watanzania na wasiokuwa watanzania.

Tundu Lissu anapaswa ku acknowledge mazuri na ku condemn mabaya, hapo kila mtu angemuelewa. Rais wetu kuna vitu anavifanya kinyume kabisa na matarajio ya wakoloni tusipomsaidia sio Tu atapandwa na hasira lakini tunaweza kuhatarisha uhai wake Kwa ajili yetu sote.
Hata wademocratics wana vitu wanamkosoa Trump lakini kuna vitu hawezi kumkosoa navyo kwakuwa ni kwamanufaa ya Yao wote
 
Huko kote uliko kutaja watu wana hoji yote uliyoyasema, sema wana minywa na wenye kulinda/kulindwa maslahi yao binafsi.
Kwani kuhoji kunaletaje umasikini?! Matajiri hutumua influence zao kupata watakacho, masikini wana minywa sana na hao ndio wewe unasema hawana elimu hivyo waendelee kusema "ndiyo mzee". Ku hoji ni human nature haina cha umasikini wala tajiri.
Hivi unadhani wamerekani wanahoji nchi Yao inapokwenda kumwaga mabomu Iraq, Afghanistan, Libya, Somalia na kwingineko? Wanahoji kama jibini haipatikani madukani basii!
 
Tanzania ni nchi masikini sana, tangu tupate Uhuru hatujawahi kuwa na nafuu, hata Rais Magufuli ameikuta hivyohivyo ikiwa na hali mbaya. Sio siri, wote tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondoka kipumbavu wakati wanaliachia bara la Africa ikiwemo Tanzania yetu. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia njia mbali kuendelea kupata malighafi, masoko ya bidhaa zao, na nguvukazi. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia mafariki zao ambao sisi tunawaamini sana kama vile viongozi maarufu, watu maarufu, mashirika ya hisani, mashirika na taasisi za kidini, viongozi wa vyama vya siasa, wanaharakati, WB, IMF, WTO na majasusi kufanikisha adhima zao hizo.

Rais Magufuli ameamua kujilipua na kutumia uncommon sense kutatua common problems zinalolikumba bara lote la Africa hasa kusini mwa jangwa la Sahara. Maana huwezi kutumia common sense kutatua common problems yaliyowashinda Marais wenzako waliokutangulia. Hata wazungu walitumia uncommon sense kufika pale walipofika, uncommon sense yao Ndiyo iliyowatuma watutawale, watufanye watumwa, watufanyishe kazi nyingi bila ujira, kuua Marais wetu waliopinga kunyonywa nk.

Tundu Lissu hakupaswa kupinga kila kitu cha Rais Magufuli kwakuwa vitu ambavyofanya kamavile kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa, kukamata wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya, kuwaondoa viongozi wasiowajibaka, kujenga miundombinu ya kisasa kama barabara, madaraja na reli, elimu bure , kufufua shirika la ndege na reli, nk. hivi vyote vinaonekana hadharani Kwa watanzania na wasiokuwa watanzania.

Tundu Lissu anapaswa ku acknowledge mazuri na ku condemn mabaya, hapo kila mtu angemuelewa. Rais wetu kuna vitu anavifanya kinyume kabisa na matarajio ya wakoloni tusipomsaidia sio Tu atapandwa na hasira lakini tunaweza kuhatarisha uhai wake Kwa ajili yetu sote.
Hata wademocratics wana vitu wanamkosoa Trump lakini kuna vitu hawezi kumkosoa navyo kwakuwa ni kwamanufaa ya Yao wote
Rubbish.
 
Kodi za Waiengereza zinatumika kuneemesha familia ya kifalme lakini hawahoji na nchi iko mbele kimaendeleo.

Lakini hapa kwetu Lissu anakomalia ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato, kwa kuwa tu Rais anatoka huko. Arejee nchini awawakilishe wapiga kura wake nao wapate uwanja wa ndege.
Unajua kama hoja inazidi uwezo wako wa kufikili bora ukakaa kimya kuliko kuonekana mjinga..
Umeonekana mjinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naaamini kabisa yahani kabisa kwamba Magufuli anaweza kufanya yooooote afanyayo pasipo kupiga watanzania wenzake risasi au kuwateka na kuwapoteza kama afanyavyo sasa hivi, binafsi simuungi mkono kwani si sahihi kuhalalisha maovu kwa kutumia mema uliyo wahi kufanya.
 
Stupid, huo ndio utawala wa sheria. Ukifanyiwa wewe utakubali? au kwa vile unanufaika na utawala huu? You must be stupid! Nani aliidhinisha kujengwa uwanja wa Chato? Huo sio wizi? Angalia wanaokali vyeo vyote vikubwa , wasukuma huo sio wizi, nani aliidhinisha manunuzi ya ndege, huo sio wizi? 1.5 trilion ziko wapi, huo sio wizi?
Mbona wachagga wako kila sehemu ofisini lakini wasukuma ambao ni robo ya watanzania wote hawahoji wakati almasi, dhahabu, ng'ombe, na pamba yote lnatoka kwao?

Tumewatumia watu wa kanda ya kaskani Kwa miaka mingi kwenye nafasi mbalimbali lakini Sisi sote ni mashahidi hata twiga walikuwa wanasafirishwa nje za nje mchana kweupe, Richmond, epa ya akina mramba na yona, nk
 
Ndio maana nakwambia your IQ is very low. Wachaga waliwekwa na rais Mchaga? Do you see what I mean?
 
Sasa mleta mada ukishasema kuwa Jiwe kaamua kutumia UNCOMMON SENSE unamharibia!.

Nani anataka kuongozwa na mtu asiyetumia Common sense?
 
Naaamini kabisa yahani kabisa kwamba Magufuli anaweza kufanya yooooote afanyayo pasipo kupiga watanzania wenzake risasi au kuwateka na kuwapoteza kama afanyavyo sasa hivi, binafsi simuungi mkono kwani si sahihi kuhalalisha maovu kwa kutumia mema uliyo wahi kufanya.
Huna ushahidi hili, lakini kama njia ya kumaliza wakwepa kodi, vibaraka, majambazi, wauza madawa ya kulenya, watorosha nyara, wanaoua tembo, waiba dawa hospital, mafisadi, nk, tuwaue Tu Kwa sasa. Maana lazima kutumia uncommon sense kutibu common problems. Hata wazungu hawakufika pale ki common common Tu. Trump anatatua tatizo la wahamiaji haram Kwa kutumia uncommon sense, kama vile kujenga ukuta, kuzuia baadhi ya watu wa nchi wasifike kwao
 
Hivi unadhani wamerekani wanahoji nchi Yao inapokwenda kumwaga mabomu Iraq, Afghanistan, Libya, Somalia na kwingineko? Wanahoji kama jibini haipatikani madukani basii!
Magufuli anaua wa Tanzania wenzake, wa America hawauwi wa America wenzao waua wa mataifa mengine kwa maendeleo yao
 
Huna ushahidi hili, lakini kama njia ya kumaliza wakwepa kodi, vibaraka, majambazi, wauza madawa ya kulenya, watorosha nyara, wanaoua tembo, waiba dawa hospital, mafisadi, nk, tuwaue Tu Kwa sasa. Maana lazima kutumia uncommon sense kutibu common problems.
Wewe unao ushahidi kwamba wanao pigwa risasi au kutekwa na kupotezwa ni miongoni mwa hao ulio orodhesha?????
 
Back
Top Bottom