Nadhani Tundu Lissu anakosea hapa

Nadhani Tundu Lissu anakosea hapa

Hoja gani za marudio yale yale ya kudai demokrasua, uhuru na haki ya kutoa mawazo wakati ndivyo hivyo unatumia kuandija humu JF.

Hoja gani za kupoteza watu au hujatoa ushahidi wowote kuhusu matukio hayo ya uzushi.
Jiwe mwenyewe alisema Siro Rufiji umefanya kazi nzuri? Kazi nzuri ilikuwa ipi? Na alimtuma kudhibiti mauaji, at the end watu 1000 wakafa, wakapotea!
 
Kelele nyingi sana tunazisikia kuhusu matokea ya mahojiano baina Lissu na Sucker,kwenye kipindi cha BBC,mie sitaki kufanya uchambuzi ili kujua kama alifanya vizuri au laa,jambo moja kubwa kuliko lote ni hili,je mahojiano hayo yameonesha kuwa Lissu hakupigwa risasi?na kwamba kwake kuhojiwa ni wangapi ambao pengine wasingejua kuwa alipigwa risasi na sasa wamejua?
Kuna kelele za kumvua ubunge,sawa mtafanikiwa kumvua ubunge wenu,lakini hamtafanikiwa kumvua ubunge wa wananchi
Pole sana Lissu,Mungu atakulipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni nchi masikini sana, tangu tupate Uhuru hatujawahi kuwa na nafuu, hata Rais Magufuli ameikuta hivyohivyo ikiwa na hali mbaya. Sio siri, wote tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondoka kipumbavu wakati wanaliachia bara la Africa ikiwemo Tanzania yetu. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia njia mbali kuendelea kupata malighafi, masoko ya bidhaa zao, na nguvukazi. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia mafariki zao ambao sisi tunawaamini sana kama vile viongozi maarufu, watu maarufu, mashirika ya hisani, mashirika na taasisi za kidini, viongozi wa vyama vya siasa, wanaharakati, WB, IMF, WTO na majasusi kufanikisha adhima zao hizo.

Rais Magufuli ameamua kujilipua na kutumia uncommon sense kutatua common problems zinalolikumba bara lote la Africa hasa kusini mwa jangwa la Sahara. Maana huwezi kutumia common sense kutatua common problems yaliyowashinda Marais wenzako waliokutangulia. Hata wazungu walitumia uncommon sense kufika pale walipofika, uncommon sense yao Ndiyo iliyowatuma watutawale, watufanye watumwa, watufanyishe kazi nyingi bila ujira, kuua Marais wetu waliopinga kunyonywa nk.

Tundu Lissu hakupaswa kupinga kila kitu cha Rais Magufuli kwakuwa vitu ambavyofanya kamavile kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa, kukamata wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya, kuwaondoa viongozi wasiowajibaka, kujenga miundombinu ya kisasa kama barabara, madaraja na reli, elimu bure , kufufua shirika la ndege na reli, nk. hivi vyote vinaonekana hadharani Kwa watanzania na wasiokuwa watanzania.

Tundu Lissu anapaswa ku acknowledge mazuri na ku condemn mabaya, hapo kila mtu angemuelewa. Rais wetu kuna vitu anavifanya kinyume kabisa na matarajio ya wakoloni tusipomsaidia sio Tu atapandwa na hasira lakini tunaweza kuhatarisha uhai wake Kwa ajili yetu sote.
Hata wademocratics wana vitu wanamkosoa Trump lakini kuna vitu hawezi kumkosoa navyo kwakuwa ni kwamanufaa ya Yao wote
Ungekuwa na akili ungetambua kuwa Lissu hajapinga hata moja katika hayo uayotaja, Lissi sio mjinga kama nyie wapiga vigelegele.

Lissi anapinga Ubinywaji wa haki za bindamu, Muaji, utekwaji, utesaji, vitosho dhidi ya uhuru wa habari, uchotaji fedha za miunfo mbinu na.ununuzi wa ndege bila.mpangilio, utungwaji wa sheria za kikoloni. Kuminya haki na maslahi ya wafanyakazi. Udikteta uchwara.
 
Watu maskini na wasio na elimu ukiwapa Uhuru mpana wa kutoa maoni hutiki mbali. Kama wachina ambao ni robo ya world's population kama watapewa Uhuru wa kutoa maoni China itasambaratika. Hata Marekani watu, wanasiasa, wanahabari kuna vitu ambayo wanaviacha hivyohivyo. Uingereza pamoja na elimu na Maendeleo Yao hakuna anayehoji uwepo wa ukoo mmoja Tu wa kifalme unaotumia Kodi zao kifahari milele na milele.
Unaongea usichokijua siasa za china ni za kitamaduni, kuna siasa kali ndani ya chama tawala na hakuna mambo ya kuchomoleana bastola kama za CCM.

Uingeleza ufalme kwao sio Ishu kwao ni ngao na utamaduni wa taifa lao. wana serikali yao nayoongozwa na Waziri mkuu na haiingiliwi na Mfalme wala malikia.
 
Tanzania ni nchi masikini sana, tangu tupate Uhuru hatujawahi kuwa na nafuu, hata Rais Magufuli ameikuta hivyohivyo ikiwa na hali mbaya. Sio siri, wote tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondoka kipumbavu wakati wanaliachia bara la Africa ikiwemo Tanzania yetu. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia njia mbali kuendelea kupata malighafi, masoko ya bidhaa zao, na nguvukazi. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia mafariki zao ambao sisi tunawaamini sana kama vile viongozi maarufu, watu maarufu, mashirika ya hisani, mashirika na taasisi za kidini, viongozi wa vyama vya siasa, wanaharakati, WB, IMF, WTO na majasusi kufanikisha adhima zao hizo.

Rais Magufuli ameamua kujilipua na kutumia uncommon sense kutatua common problems zinalolikumba bara lote la Africa hasa kusini mwa jangwa la Sahara. Maana huwezi kutumia common sense kutatua common problems yaliyowashinda Marais wenzako waliokutangulia. Hata wazungu walitumia uncommon sense kufika pale walipofika, uncommon sense yao Ndiyo iliyowatuma watutawale, watufanye watumwa, watufanyishe kazi nyingi bila ujira, kuua Marais wetu waliopinga kunyonywa nk.

Tundu Lissu hakupaswa kupinga kila kitu cha Rais Magufuli kwakuwa vitu ambavyofanya kamavile kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa, kukamata wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya, kuwaondoa viongozi wasiowajibaka, kujenga miundombinu ya kisasa kama barabara, madaraja na reli, elimu bure , kufufua shirika la ndege na reli, nk. hivi vyote vinaonekana hadharani Kwa watanzania na wasiokuwa watanzania.

Tundu Lissu anapaswa ku acknowledge mazuri na ku condemn mabaya, hapo kila mtu angemuelewa. Rais wetu kuna vitu anavifanya kinyume kabisa na matarajio ya wakoloni tusipomsaidia sio Tu atapandwa na hasira lakini tunaweza kuhatarisha uhai wake Kwa ajili yetu sote.
Hata wademocratics wana vitu wanamkosoa Trump lakini kuna vitu hawezi kumkosoa navyo kwakuwa ni kwamanufaa ya Yao wote
kavulata wewe ndio maskini sio tanzania. Tanzania ni nchi tajiri sana tena sana ila watu wake ndio wapumbavu ni wagonjwa wa akili kwa hivyo hatuwezi kuwalaumu
 
Umetaja mazuri anayoitendea nchi yasiyo paswa kukosolewa, Fine. Mbona hujataja hata moja baya yanayowapasa wapinzani wake kumkosoa ?!. Au ni malaika asiyepaswa kukosolewa ?!
HEBU JARIBU KU BALANCE U A STORY. Kwa sababu nchi ni ya wote (watawala & watawaliwa).

Lisu hapingi kila kitu , yeye analaani Tabia mbaya ya mtukufu magufuli kuwabambikia kesi, kuwapiga Risasi kuwanyanyasa Wapinzani, pia kuiba trilion 1.5 kienyeji huku akimtumia Spika kumyamazisha CAG, kajenga chato Airport kienyeji kijijini porini pasipo idhini ya Bunge, anachukua pesa hazipo kienyeji kuwanunua wabunge wa upinzani kurudia chaguzi kwa gharama kubwa pesa inayotumika kwa mambo ya hovyo hovyo ni pesa nyingi kuliko awamu zote kama kweli magufuli ana nia ya kuikomboa Tanzania Mbona anafanya mambo yasiyo na Tija kwa Taifa.
 
Yajazie nyama maombi yako mkuu ili mungu ashawishike kuyapokea
 
Umetaja mazuri anayoitendea nchi yasiyo paswa kukosolewa, Fine. Mbona hujataja hata moja baya yanayowapasa wapinzani wake kumkosoa ?!. Au ni malaika asiyepaswa kukosolewa ?!
HEBU JARIBU KU BALANCE U A STORY. Kwa sababu nchi ni ya wote (watawala & watawaliwa).

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtukufu malaika toka chato ana mazuri yake ingawa si mengi kama mabaya ambayo yameongezeka kwa kasi baada ya kumteua Bashite kuwa mshauri wake mkuu ambaye anatumia fursa hiyo kumshauri wawakomoe Wapinzani.
 
Rubbish, as long as it involves killing people, i.e loss of lives e.g MKIRU, Coco bech, Ben Saanane,killing our beloved ones, eti ni kuleta maendeleo, whaterver "good" he might be doing, if at are there, goes to the trush, down by the trench!
Muulize aliyeko Segerea
 
Tanzania ni nchi masikini sana, tangu tupate Uhuru hatujawahi kuwa na nafuu, hata Rais Magufuli ameikuta hivyohivyo ikiwa na hali mbaya. Sio siri, wote tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondoka kipumbavu wakati wanaliachia bara la Africa ikiwemo Tanzania yetu. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia njia mbali kuendelea kupata malighafi, masoko ya bidhaa zao, na nguvukazi. Tunafahamu kuwa wakoloni wanatumia mafariki zao ambao sisi tunawaamini sana kama vile viongozi maarufu, watu maarufu, mashirika ya hisani, mashirika na taasisi za kidini, viongozi wa vyama vya siasa, wanaharakati, WB, IMF, WTO na majasusi kufanikisha adhima zao hizo.

Rais Magufuli ameamua kujilipua na kutumia uncommon sense kutatua common problems zinalolikumba bara lote la Africa hasa kusini mwa jangwa la Sahara. Maana huwezi kutumia common sense kutatua common problems yaliyowashinda Marais wenzako waliokutangulia. Hata wazungu walitumia uncommon sense kufika pale walipofika, uncommon sense yao Ndiyo iliyowatuma watutawale, watufanye watumwa, watufanyishe kazi nyingi bila ujira, kuua Marais wetu waliopinga kunyonywa nk.

Tundu Lissu hakupaswa kupinga kila kitu cha Rais Magufuli kwakuwa vitu ambavyofanya kamavile kuondoa wafanyakazi na wanafunzi hewa, kukamata wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya, kuwaondoa viongozi wasiowajibaka, kujenga miundombinu ya kisasa kama barabara, madaraja na reli, elimu bure , kufufua shirika la ndege na reli, nk. hivi vyote vinaonekana hadharani Kwa watanzania na wasiokuwa watanzania.

Tundu Lissu anapaswa ku acknowledge mazuri na ku condemn mabaya, hapo kila mtu angemuelewa. Rais wetu kuna vitu anavifanya kinyume kabisa na matarajio ya wakoloni tusipomsaidia sio Tu atapandwa na hasira lakini tunaweza kuhatarisha uhai wake Kwa ajili yetu sote.
Hata wademocratics wana vitu wanamkosoa Trump lakini kuna vitu hawezi kumkosoa navyo kwakuwa ni kwamanufaa ya Yao wote
Lissu ameshajitambulisha kama mgombea urais wa 2020, kwa uzoefu wa siasa za kiafrika ni vigumu kwake hata kusifia machache ambayo anajua ni mazuri. Wale ambao wanaguswa na hayo mazuri wataonyesha kuguswa kwao siku watakayokwenda kupiga kura.

Lissu anatumia political strategies, ambazo yeye anaona ni nzuri. Kama kweli ni nzuri au sio nzuri majibu yatapatikana 2020 siku ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom