Nabii Penuel Mnguni aonja joto ya jiwe

Nabii Penuel Mnguni aonja joto ya jiwe

Nina rafiki yangu ofisini kwetu hapigi kura kutokana na imani yao.Jamaa anasali kanisa la MASHAHIDI WA YEHOVA.Pamoja na elimu yote jamaa haambiliki.Hizi dini mhhhhhhhh

Wakati Hawa hawa Mashahidi wa Yehova wanaoamini kuwa lucifer alikuwa ndio mfalme wa Babylon
 
"Religion is the opium of people"...
 
KUNA MMOJA JUZI KATI WAUMINI WAMEMPELEKEA NYOKA NA PANYA WALIOKUFA NA YEYE ALE MAANA ALIKUWA ANAWAAMBIA WALE NYASI NYOKA NA PANYA

ILIBIDI POLISI WAINGILIE KATI MAANA MCHUNGAJI HAKUWEZA KULA.. NYOKA WALA PANYA.....
ALIKUWA anawatapeli waumini

HAYO MAKANISA YA KIROHO YANIPITIE PEMBENI..
 
Ndio huyu hapa Penuel Mnguni 1439547880170.jpg
 
ndo maana ulaya hakuna kitu kinachoitwa ukristo, imebaki Africa na kwa wamarekani weusi tu, huo ndo ukweli unaouma!

Ndivyo shetani anavyotaka watu waamini, kwamba hayo yote ni kwa sababu ya ukristo. Yesu aliwaambia watu kuwa mnapotea kwa sababu hamjui Maandiko wala uweza wa Mungu. Kwa anayejua Maandiko matakatifu hayo sio mambo sio ya kushangaza.
 
Penuel mnguni is no more kafa baada ya kuumwa na nyoka wake mwenyewe
5e68f187e0e53a5b13d47d73c13a1147.jpg
b535f44cf04939726c960012987c767e.jpg
 
Nina rafiki yangu ofisini kwetu hapigi kura kutokana na imani yao.Jamaa anasali kanisa la MASHAHIDI WA YEHOVA.Pamoja na elimu yote jamaa haambiliki.Hizi dini mhhhhhhhh
Wajinga ndio waliwao..sijui kwa nini watu hawajifunzi ,siku hizi ukipatwa na tatizo kidogo tu utasikia nenda kwenye maombi!!wachungaji sijui manabii wengine siku hizi usafiri wao ni helkopta tena zao binafsi !!
 
Hivi habari hizi za kipuuzi mbona ni makanisani tu?kwanini hatusikii misikitini?
 
Kuna mchungaji nlikutana naye akaanza kunambia nna matatizo na mme wangu me nikasema mbona tuko vizuri akasema KIROHO yeye anaona kuna tatizo. Hapa nikaona ni jinsi gan kwa namna hii wanawake wanatapeliwa na kuingizwa kwenye imani potofu ikitokea kweli labda kipindi hicho ndo ana matatizo kwenye ndoa yake. Kwangu alibugi step maana mapenzi yapo moto amani tele sasa hayo mambo mabaya ya kiroho yanini kuyatafuta!! Imani hizi nashukuru Mungu amenipa ufahamu.
 
Wagalatia wanaangamizwa kwa kushindwa kuyatafuta maalifa.
 
Kwa Hali hii lazima hata Serikali itupie jicho
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    31.1 KB · Views: 43
Back
Top Bottom