Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,664
Wanaotetea imani hewa... mara wamwite Mungu mara mwanaye yaani wala huwezi waelewa hasa wanachokiamini ni kipi.....ubabaishaji....!Ni kweli kabisa
Wanaotetea imani hewa... mara wamwite Mungu mara mwanaye yaani wala huwezi waelewa hasa wanachokiamini ni kipi.....ubabaishaji....!Ni kweli kabisa
Ivi zile Allah Akbar kabla ya kujilipua zinatoka makanisani.Hivi habari hizi za kipuuzi mbona ni makanisani tu?kwanini hatusikii misikitini?
Tukausitisha kwa maslahi ya nani? La.....! Wakati wa kuabudu masanamu umekwisha.....Vema tukasitisha huu mjadala
Kuna na wale wengine wanaomwabudu binadamu mwezao. Hii ndio mtu anaku.nya kama wewe bado unaamini yeye ni Mungu.Ujinga yaani unapewa nywele unakubali kula ili iwe nini hawa wakipewa mabomu wanajilipua ili waende pepo!
Ni binadamu mwenzao kweli lakini kwa kuwa wanaamini alipaa basi anakuwa ndio Mungu....Kuna na wale wengine wanaomwabudu binadamu mwezao. Hii ndio mtu anaku.nya kama wewe bado unaamini yeye ni Mungu.
Tukausitisha kwa maslahi ya nani? La.....! Wakati wa kuabudu masanamu umekwisha.....
Sahihi kabisa! Siabudu mtu wala mti uliochongwa kama kinyago...Kaka ukiambiwa uthibitishi kwamba imani yako ni sahihi una uhakika utaweza?
Thibitisha unachokiabudu kwamba ni sahihi au vipi? Kama hauabudu miti unaabudu bahari au?Sahihi kabisa! Siabudu mtu wala mti uliochongwa kama kinyago...
Bahari imeumbwa na nani?Thibitisha unachokiabudu kwamba ni sahihi au vipi? Kama hauabudu miti unaabudu bahari au?
Kaka umeshindwa kuthibitisha au? Au kujieleza mwenyewe bila kusaidiwa ni shida kwako. Mimi nitakujibu baada ya kunijibu swali langu. Thibitisha kwamba imani yako ni sahihi?Bahari imeumbwa na nani?
Nimeshakujibu.....siabudu miti wala sanamu na wala sikai kwenye bench wakati naabudu...Kaka umeshindwa kuthibitisha au? Au kujieleza mwenyewe bila kusaidiwa ni shida kwako. Mimi nitakujibu baada ya kunijibu swali langu. Thibitisha kwamba imani yako ni sahihi?
Bro kuwa muelewa basi. Unamuabudu nani?Nimeshakujibu.....siabudu miti wala sanamu na wala sikai kwenye bench wakati naabudu...
Namwabudu Mungu.Bro kuwa muelewa basi. Unamuabudu nani?
Hata usiwaze tunaelekea kwenye point. Umewahi kumuona Mwenyezi MUNGU?Namwabudu Mungu.
Mbona swali lako halina mantiki.
Yule wanaomwabudu hao jamaa namjua....huwa namwona kwenye picha au video hasa kipindi hiki cha pasaka....na pia ule mti wenye pande mbili wanaoudhania Mungu pia huwa nauona.....umenielewa?Hata usiwaze tunaelekea kwenye point. Umewahi kumuona Mwenyezi MUNGU?
Jibu swali umewahi hujawi? Mbona unataka kunitoa kwenye key?Yule wanaomwabudu hao jamaa namjua....huwa namwona kwenye picha au video hasa kipindi hiki cha pasaka....na pia ule mti wenye pande mbili wanaoudhania Mungu pia huwa nauona.....umenielewa?
Wewe ndio unataka kunitoa kwenye key. Nimeshakujibu...Jibu swali umewahi hujawi? Mbona unataka kunitoa kwenye key?
Kwa hiyo wanaomuabudu wenzako unamjua na ushawahi kumuona ila unaemuabudu wewe humjui na hujawahi kumuona si ndio hivyo au?Wewe ndio unataka kunitoa kwenye key. Nimeshakujibu...
Ukiwa expert member ujitahidi kuongea facts na unaposhutumu watu uwe na evidence, ukiambiwa ulete ushahidi kwamba Mashahidi wa Yehova wanaamini Lucifer ndio mfalme wa Babyloni utaleta. Acha kujidhalilisha na kushutumu imani za watu bila ushahidi. Huu unaitwa upumbavu,Wakati Hawa hawa Mashahidi wa Yehova wanaoamini kuwa lucifer alikuwa ndio mfalme wa Babylon