Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,669
- 860,996
Chama cha EFF- Economic Freedom Fighters wamefanya jambo ambalo laweza kuwa tahadhari kwa wengine wote wenye tabia zisizokubalika katka Jamii.
Nabii Penuel Mnguni 23 amekuwa maarufu viunga vya Pretoria na Afrika kusini baada ya kuwa na ibada zenye utata mwingi, amekuwa akiwaamrisha waumini wake wale nyoka panya majani na nywele kuwa kimiujiza hivyo vyote hugeuka kuwa chakula.
hapa akimpa muumini toilet paper
hapa muumini akila majani.
hapa ni mhanga wa nabii Mnguni, binti aliyevamiwa na muumini wa Mnguni akaanza kunyofolewa nywele ili jamaa azile kama chakula.
Sasa baada ya EFF kuchoshwa na upuuzi wa manabii wa namna hii walivamia kanisa lake wakiwa na panya na nyoka ili wampe nabii ale kama anavyowaamrisha waumini wake.
Bahati mbaya au nzuri nabii alichezwa na machale akasepa kabla jamaa hawajamkata na hivyo kupelekea kulichoma moto kanisa lake.
Police wa Pretoria wamethibisha tukio hilo
Chanzo: BBC News