Nabii Penuel Mnguni aonja joto ya jiwe

Nabii Penuel Mnguni aonja joto ya jiwe

Wavamie tu waanzie pale ubungo kibangu kwa mzee wa buku tano wakimaliza waende kwa mzee wa matusi ngwajima huku tabata/ segerea ndio balaa wachaga wamegundua biashara mpya kila kona kanisa ngoja wapige hela maana wajinga ndio waliwao
 
Hahahahahaha!Manabii,Mitume,Mshana jr. na Jichawi ni majipu ya kiroho ambayo yanapaswa kutumbuliwa.
Chama cha EFF- Economic Freedom Fighters wamefanya jambo ambalo laweza kuwa tahadhari kwa wengine wote wenye tabia zisizokubalika katka Jamii.

Nabii Penuel Mnguni 23 amekuwa maarufu viunga vya Pretoria na Afrika kusini baada ya kuwa na ibada zenye utata mwingi, amekuwa akiwaamrisha waumini wake wale nyoka panya majani na nywele kuwa kimiujiza hivyo vyote hugeuka kuwa chakula.

View attachment 275674
hapa akimpa muumini toilet paper

View attachment 275676
hapa muumini akila majani.

View attachment 275677
hapa ni mhanga wa nabii Mnguni, binti aliyevamiwa na muumini wa Mnguni akaanza kunyofolewa nywele ili jamaa azile kama chakula.

Sasa baada ya EFF kuchoshwa na upuuzi wa manabii wa namna hii walivamia kanisa lake wakiwa na panya na nyoka ili wampe nabii ale kama anavyowaamrisha waumini wake.

Bahati mbaya au nzuri nabii alichezwa na machale akasepa kabla jamaa hawajamkata na hivyo kupelekea kulichoma moto kanisa lake.

Police wa Pretoria wamethibisha tukio hilo

Chanzo: BBC News

 
huyo wakimkata wampeleke machungani kabisa
 
ndo maana ulaya hakuna kitu kinachoitwa ukristo, imebaki Africa na kwa wamarekani weusi tu, huo ndo ukweli unaouma!

The most christian countries

10. Ethiopia – 52.07 million

9. Germany – 56.54 million

8. Democratic Republic of the
Congo – 63.21 million

7. China – 68.41 million

6. Nigeria – 78.05 million

5. The Philippines – 86.37
million

4. Russia – 107.5 million

3. Mexico – 107.91 million

2. Brazil –173.3 million

1. USA – 243.06 million

Source www.therichest.com/rich-list/the-biggest/the-10-most-christian-countries/?view=all
 
Kuna watu huwa nina wasiwasi wana matatizo makubwa ya akili ila jamii iliyowazunguka huwa inakataa kutambua hilo au inaignore kwa makusudi.
 
Kuna watu huwa nina wasiwasi wana matatizo makubwa ya akili ila jamii iliyowazunguka huwa inakataa kutambua hilo au inaignore kwa makusudi.
Hakuna kitu kibaya kama mass hallucinations
 
Kuna watu huwa nina wasiwasi wana matatizo makubwa ya akili ila jamii iliyowazunguka huwa inakataa kutambua hilo au inaignore kwa makusudi.
Hasa hii dini ya hawa watu wanaoamini jamaa alikufa msalabani kwa ajili yao huwa akili yao ina matatizo sana maana ni wepesi kudanganyika....
 
Hasa hii dini ya hawa watu wanaoamini jamaa alikufa msalabani kwa ajili yao huwa akili yao ina matatizo sana maana ni wepesi kudanganyika....
Si vema kudhihaki imani sio yako..Tanzania tumefundishwa kuheshimiana na kuvumiliana
 
Christianity Dying Out in Germany
November 24, 2013 by TNO Staff— in Europe · 1 Comment
Christianity—both Catholic and Protestant—is dying out in Germany due to a dramatically shrinking number of Europeans professing faith in God, a fact exacerbated by a growth in non-white Muslim invaders, a survey of available figures have revealed.

In the former East Germany, 52 percent of inhabitants said they did not believe in any God, and just 8 percent said they believed in a God “personally concerned with every human being,” according to a German newspaper report from 2012.

In Western Germany, some 54 percent of people said they believed in God, but this figure is declining rapidly, indicating that the majority of believers are elderly.

In former West Germany, 36 percent of over-68-year-olds said they believed in God, compared with 18 percent of people younger than 28.

In the former East Germany, the figure was 12 percent for those over 68, while not a single under-28-year-old surveyed said they believed in God.

church-germany.jpg


This fact is borne out by the continuing closure of churches up and down Germany. According to a report in Die Welt newspaper, in the large Gelsenkirchen-Wattenscheid parish, the number of churches has dropped from 39 in 1990 to 29, and parish superintendent Rüdiger Höcker predicts the number will dwindle even further.

“We are well on the way to becoming a minority,” he told the paper. “It’s a fate that Protestants in most regions of the country will not be spared. These days, we’re burying far more parishioners than we’re baptising children.”

A newer report published by Die Welt in September 2013 said that Christians in Germany will become a minority in the next 20 years and that “less than 50 percent of the population will belong to the Catholic and Protestant churches as congregations slowly die out.”


More than 400 Roman Catholic churches and more than 100 Protestant churches have been closed since 2000. Another 700 Roman Catholic churches are slated to be closed over the next several years.

READ “Annotated” Mein Kampf in Germany
Of those that identify themselves as Protestants, the number of people who go to church regularly is far smaller with 4 percent of Protestants attending church on Good Friday, the paper reported.

It is a similar picture among Catholics. Back in the 1950s one in two German Catholics regularly attended church services. The number has now fallen to just 12.3 percent, according to the German conference of bishops.

The Catholic priest shortage is now so acute that that church has started importing new priests from India. According to an article in Der Speigel, 10 percent (about 1,300) of all Catholic priests in Germany are from outside the country—with most of them coming from India.

gapsarchurch.jpg
Der Spiegel’s
article focused on one such Indian priest, Benjamine Gaspar, who ministers to the congregation of Bocholt in the Münster diocese.

Significantly, Der Spiegel mentions that whereas Gaspar used to have congregations of thousands in his native India, his regular congregation in Germany now consists of 70 people, “almost all are women, [and] everyone is over 60” years of age.

This decline in Christians is being aggravated by the ever-increasing number of nonwhite Muslim invaders who have been encouraged to settle in that country over the past few decades by successive Leftist governments.

There are already at least 4.5 million Muslims, or more than 5 percent of the population, in Germany—and that is according to official figures and does not include illegal immigrants. Germany is now home to more than 200 mosques (including more than 40 mega-mosques), 2,600 Muslim prayer halls and a countless number of unofficial mosques. Another 128 mosques are currently under construction, according to the Zentralinstitut Islam-Archiv, a Muslim organization based in Germany
 
Hivi habari hizi za kipuuzi mbona ni makanisani tu?kwanini hatusikii misikitini?
Mkuu misikitini wanakuja na tunawatambua kwa majina na kwa designs za: Alshabab, Alkaida, Boko haram, Isis, etc
 
Si vema kudhihaki imani sio yako..Tanzania tumefundishwa kuheshimiana na kuvumiliana
Huo ndio ujinga tulioachiwa na mkoloni. Utamuheshimu vipi mtu aliyepotea? Anavaa masalaba kama ishara ya kitu bora kumbe ni sanamu by definition ndani ya biblia....
 
Huo ndio ujinga tulioachiwa na mkoloni. Utamuheshimu vipi mtu aliyepotea? Anavaa masalaba kama ishara ya kitu bora kumbe ni sanamu by definition ndani ya biblia....
Bado nasisitiza ni imani kwahiyo iheshimiwe bila kujali mletaji
 
Bado nasisitiza ni imani kwahiyo iheshimiwe bila kujali mletaji

Hatuwezi kuuvumilia ujinga....eti mtu akikupiga kofi shavu la kulia mgeuzie na la kushoto....lo!! Hayo maneno hayawezi kuwa yametamkwa na Mungu.....haiwezekani Mungu aongoze kwa kuwa mwenye busara sifuri.....!!!
 
Back
Top Bottom