Nabii Penuel Mnguni aonja joto ya jiwe

Nabii Penuel Mnguni aonja joto ya jiwe

Makafir huwa nafikir akili zao zipo m@t@koni.....

Mwenye akili timamu hawezi kukubali huu Ujinga.
 
Ukiwa expert member ujitahidi kuongea facts na unaposhutumu watu uwe na evidence, ukiambiwa ulete ushahidi kwamba Mashahidi wa Yehova wanaamini Lucifer ndio mfalme wa Babyloni utaleta. Acha kujidhalilisha na kushutumu imani za watu bila ushahidi. Huu unaitwa upumbavu,
Ni kweli huu ni upumbavu.....maana kumbadilisha mtu aliyelishwa ujinga 1+1+1 jibu lake ni moja wakati kiuhalisia jibu lake ni TATU lazima wakati unamtoa huko gizani akuite wewe ni mpumbavu....sikatai sana kwa hoja hiii.....
 
Ukiwa expert member ujitahidi kuongea facts na unaposhutumu watu uwe na evidence, ukiambiwa ulete ushahidi kwamba Mashahidi wa Yehova wanaamini Lucifer ndio mfalme wa Babyloni utaleta. Acha kujidhalilisha na kushutumu imani za watu bila ushahidi. Huu unaitwa upumbavu,
Haya asante mwerevu
2717502ad12d18b8768e592336eef80c.jpg

-unaifahamu watchtower na maana yake?
-unajua kwanini Mashahidi wa Yehovah wanamuita lucifer kama The light bearer?
-unajua nini maana ya morning star kwenye Yehovah's Witness?
-unajua ni kwanini watchtower inatumika na wao kama alama yao kuu

Nijibu haya halafu tutaona upumbavu wangu au werevu wako
 
Hii ndio watchtower original
21ce0fb68be5f21a2c8643502a306eee.jpg
na hii ndio watchtower inayotumiwa na Mashahidi wa Yehovah, freemason na luceferianism
29756ab63d76397813d9f36982e3a559.jpg

Hizi imani zote tumeletewa na wageni vema kusoma na kuzielewa doctrines zake Usiwe mtu wa kuhemka na kutoa kejeli kama wale wengine wasiojua chochote kuhusu ukristo na imani yao
 
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Haya asante mwerevu
2717502ad12d18b8768e592336eef80c.jpg

-unaifahamu watchtower na maana yake?
-unajua kwanini Mashahidi wa Yehovah wanamuita lucifer kama The light bearer?
-unajua nini maana ya morning star kwenye Yehovah's Witness?
-unajua ni kwanini watchtower inatumika na wao kama alama yao kuu

Nijibu haya halafu tutaona upumbavu wangu au werevu wako

Mshana jr ombi binafsi.....najua uko packed with massive amount of information and knowledge, uje utoe darasa la freedom fighters na jim crow🙄🙄
 
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa (hosea 4:6) sisi watu wa kizazi hiki shida zimetujaa na kupenda sifa, tunaisoma biblia lakini hatuielewi na ile karama ya kupambanua roho ndio zero kabisa kwa waamini wengi wetu.Jamani tujifunze kukaa na Mungu na kumsikiliza na sio kusikiliza huu upuuzi wa manabii kama hawa
 
Umenena vema mkuu ila Mungu huwa hakai na wanadamu.....siyo mimi bali ni biblia hiyohiyo......
 
-Tazama nasimama mlangon nabisha mtu akifungua mlango nitaingia kwake.
-Shika sana ulichonacho mtu asije akaitwaa taji yako
-Nimfano wa wanawali 10,5wapumbavu na 5 wenye hekima.
 
Mkuu misikitini wanakuja na tunawatambua kwa majina na kwa designs za: Alshabab, Alkaida, Boko haram, Isis, etc
Kwani Watabiri Wakuu Wa Nyota Ni Kinanani, Na Je Quran Inakubali Utabiri Au Dhambi.

Ni Mgawanyiko Tu, Hawa Wanajiita Manabii Wakat Wengine Wanatabiri Nyota.
 
Hatuwezi kuuvumilia ujinga....eti mtu akikupiga kofi shavu la kulia mgeuzie na la kushoto....lo!! Hayo maneno hayawezi kuwa yametamkwa na Mungu.....haiwezekani Mungu aongoze kwa kuwa mwenye busara sifuri.....!!!
Malyenge, Unataka Kunambia Quran Imekataza Kusamehe?!.
Kama Imekataza Basi Ni Vyema Na Kama Haijakataza Basi We Si Muumini Bali Shabiki Wa Dini Yako Kama Vile Simba Na Yanga.
 
Hivi mnaposoma maandiko kwanini huwa mnaongeza fikra zenu? Andiko linaposema mtu akikupiga kofi shavu la kushoto mgeuzie na la kulia maana yake siyo kusamehe!!!! Maana yake umgeuzie shavu lingine aendelee kukukandamiza na makofi!!! Sasa huyu Mungu wa aina hii anayewapumbaza wanadamu wake waendelee kupigwa makofi hafai.....!
Kusamehe ya kweli ni lie inayosema SAMEHE SABA MARA SABINI......NA SIYO HIYO YA KUGANDAMIZWA MAKOFI MUNGU ANAENDELEA KUKUZUBAISHA ILI UENDELEE KUPATA KICHAPO.......!
UMRULIZA QURAN kuhusu kusamehe. Hiyo ni mada nyingine.....
Quran inafundisha mtu akidhamiria kukudhuru kimbia........Upo hapo??
 
Hakuna Maelewano Hapa.
Ngojq Nibaki Na Ujinga Wangu Mie [emoji112] [emoji112] [emoji112]
 
Back
Top Bottom