MJITA HALISI 176
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 537
- 146
- Thread starter
- #21
mtashangaa sana siku lew mutuz akiapishwa kuwa Rais wa 5 wa nchi hii, maana yeye ndo anatayarishwa
Ni shigidaah
mtashangaa sana siku lew mutuz akiapishwa kuwa Rais wa 5 wa nchi hii, maana yeye ndo anatayarishwa
Unafikiri akimtaja kuwa ni kutoka UKAWA maccm yatamwacha?
maaanina walahi ujinga nchi hii hautokaa uishe hadi kizazi chote kiteketezwe kwa moto ianze mbegu mpya.
Kama weweAache Usanii...
Muhuni tu huyu!
Nakumbuka kale kamsemo kuwa "JK ni chaguo la Mungu". Kweli hata sisi tunashuhudia jinsi wananchi wanavyotaabika kwenye nchi yao iliyojazana natural resources lakini NO PANADOL mahospitalini. Je ni kweli Mungu aliweka chaguo hilo ili watanzania wazinduke kwenye usingizi pono na wapate busara katika maamuzi?
Sidhani kama watanzania wana-care hizi ramli any more. They just need unafuu wa maisha na maendeleo.
Mbona hata wewe umechangia tayari mkuunyie kwel ni kondoo wa uvinza mnabofia kii kuchangia upuuz kama huu
Angeonyesha utofauti wake kwa kutaja jina maana ata kila mtu anajua Tanzania itampaja Rais 2015, bila kutaja jina hakuna unabii kwenye hilo.Ni heri angekaa kimya tu.Kama ni nabii basi tusimpiuze coz kitendo cha kuwa nabii kinampa fursa adimu ya kujua mambo kabla ya kutokea. Lakin nadhani huo unabii unapoteza maana pale anaposhindwa kuuweka adharani
Samahani sana MJITA HALISI 176, kwanza, ni sifa zipi mtu anatakiwa awe nazo mpaka ajiite/aitwe nabii. Pili, nabii anayo maumbile yapi tofauti na wanadamu wengine ili hata nikikutana naye iwe rahisi kumtambua mara moja. Tatu, huyu nabii GeorDavie anapata nguvu zake na maono yake kutoka wapi na kutoka kwa nani. Nne, je nabii GeorDavie anaendeshaje maisha yake na anapataje mahitaji yake...ana familia, ana ndugu, ana marafiki, anao washikaji? Utanisamehe kuuliza maswali haya kwa sababu nimesikia yupo nabii mwingine kazama baharini na kufa akijaribu kutembea juu ya maji!
Angeonyesha utofauti wake kwa kutaja jina maana ata kila mtu anajua Tanzania itampaja Rais 2015, bila kutaja jina hakuna unabii kwenye hilo.Ni heri angekaa kimya tu.
Check hapo juu nimeenda zaidi ya Nabii na lazima hilo litatukia, Mungu atupe uhai tu.