Mi naona hapa watu wanafurahia kutukana tuuu: Honestly sijaona hoja ya msingi ya Watu kuukataa unabii wake(Geor devie)
Tusaidiane nabii yukoje; vitu gani vinaweza kutumika kusema huyu ni nabii ama mtu wa mungu.
Kwasababu ya kuishi ki
Fahari..?basi mbona
Yohana Mbatizaji aliitwa ana mapepo kwa kula NZige, asali na kukaa porini?
Kutembelea range rover kitu gani hata YESU alipanda mwanapunda ambaye hajawahi kupandwa na MTU
Kwa bahati mbaya hakukuwa na range enzi hizo.what if zingekuwepo je angeshindwa kupanda?
Je hakukua na maskini wakati wa YESU?
Leo Geor Davie anapita kwenye red carpet wakati enzi ya YESU alitandikiwa nguo akapita
Watu wanashika nguo ya geor davie ili wapokee uponyaji walifanya hivyo kwa YESU.
Nabii Geor Davie amekata kumtaja Rais ajaye, enzi hizo YESU alikataa kutaja tarehe ya siku ya mwisho wa dunia.
Geor Davie anafundisha kwa mamlaka, haya YESU alifundisha kwahiyo mamlaka.
Geor davie anafundisha ufalme wa mungu hata YESU alifundisha kuhusu ufalme wa mungu.
Mara hooo anawaibia waumini
Yaani kwa akili Zenu watu wa kule kijijini manyara na arusha kisongo, wanaweza kweli kumchangia pesa mpaka akaweza kununua range rover vogue? Mbona wakina lwakatare, gwajima basi hawaendi huko kutwa kucha wako dar wakihubiri?
Mnataka mpaka Geor Davie asulubiwe kama yesu ndio mseme alikuwa ni nabii wa kweli?
Nashauri watu waache kumchafua MTU wasiyemjua, kutumia ushabiki.
No research no right to speak.