MJITA HALISI 176
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 537
- 146
Akihubiri jioni hii kupitia kituo cha television cha Channel Ten jioni ya leo , nabii huyu amewambia wahumini wake kuwa anamjua rais wa awamu ya tano ajaye katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwakani. Lakini pia amesema awezi kumtaja kwa sasa kwani anaheshimu Katiba ya nchi ya kuwa rais anapatikana kwa kupigiwa kura na wananchi.
RAI.
Wale magwiji wanaoufukuzia urais aswa wale wa ccm wawasiliane na nabii huyu.
RAI.
Wale magwiji wanaoufukuzia urais aswa wale wa ccm wawasiliane na nabii huyu.