Nabii GeorDavie: Namjua Rais ajaye 2015

Nabii GeorDavie: Namjua Rais ajaye 2015

Huu ni uzushi na abuse ya unabii wenyewe. Nabii hafanyi betting. Nabii hutaja na watu wakajipimia wenyewe kama kweli. Sasa ikiwa hakutaja basi hata yeye ana shaka na unabii wenyewe. Shaka kwamba what if hatakuwa nitapoteza umaarufu na unabii wangu hautasikilizwa tena.

Nabii hawezi kusema vijimsemo ordinary kama hivyo ambavyo hata mtu duni kabisa asiye na imani anaweza kusema. Ukisema weye ni nabii na ujipime vyema kabla ya kutoka mbele za watu. Tena hii wala siyo prophecy. Kama kasema hivyo ikiwa siamini kasema ni uchuro kwa unabii wenyewe. Asijiingize humo kwa kuwa kuna matope na mapepo ya kutosha unless kama yeye ni pepo kwa pepo.

Kama kuna anayebisha aeleze maana ya tabia za kinabii na utoaji prophecy
 
Akihubiri jioni hii kupitia kituo cha television cha Channel Ten jioni ya leo , nabii huyu amewambia wahumini wake kuwa anamjua rais wa awamu ya tano ajaye katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwakani. Lakini pia amesema awezi kumtaja kwa sasa kwani anaheshimu Katiba ya nchi ya kuwa rais anapatikana kwa kupigiwa kura na wananchi.

RAI.
Wale magwiji wanaoufukuzia urais aswa wale wa ccm wawasiliane na nabii huyu.
Yeye ni mhubiri wa neno la Mungu au mtabiri?
 
kama amegoma kumtaja actubabaishe na unafiki wake, angemtaja kabisa au angesema ni kutoka chama gani ndo tungemuamin

ameogopa kumtaja kwa sababu hatoki ccm , angekuwa anatoka ccm angemtaja. sasa anaogopa kimavi
 
Mh! mr president taratibu mkuu uyu jamaa ana nguvu ya ajabu kutoka kwa mungu.acjekukudhuru mkuu.


Huyu ni LUCIFA...shetani yule mkubwa kabisa...unajua kavunja NDOA YA MTU YA MIAKA 15, HUYO MAMA ALIKUWA SECRETARY WAKE na kaolewa miaka 15, juzi mwezi wa 10 Arusha, ndio akawa kumbe anamtom.b@@ sana hadi akawa anamfuata kwa mama huyo home, hadi akawa anafanya nae s.ex ktk gari la huyu FIRAUNI....!!!..mwizi tu kama wa Escrow...wizi ni wizi tu...!!!
 
Akihubiri jioni hii kupitia kituo cha television cha Channel Ten jioni ya leo , nabii huyu amewambia wahumini wake kuwa anamjua rais wa awamu ya tano ajaye katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwakani. Lakini pia amesema awezi kumtaja kwa sasa kwani anaheshimu Katiba ya nchi ya kuwa rais anapatikana kwa kupigiwa kura na wananchi.

RAI.
Wale magwiji wanaoufukuzia urais aswa wale wa ccm wawasiliane na nabii huyu.

Huyu tapeli amemaliza kesi ya kupora mke wa mtu?
 
Akihubiri jioni hii kupitia kituo cha television cha Channel Ten jioni ya leo , nabii huyu amewambia wahumini wake kuwa anamjua rais wa awamu ya tano ajaye katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwakani. Lakini pia amesema awezi kumtaja kwa sasa kwani anaheshimu Katiba ya nchi ya kuwa rais anapatikana kwa kupigiwa kura na wananchi.

RAI.
Wale magwiji wanaoufukuzia urais aswa wale wa ccm wawasiliane na nabii huyu.

Nabii haogopi kumtaja.aache uongo wake hizo ni hisia zake tu
 
Ukidhubutu kuupinga huo unabii wake especially unapokuwa muumini wake ujue utatimuliwa tuu. Nadhani huyu ndiyo nabii mwenye majina mengi zaidi ambayo lazma umwite yote

Anaitwa Nabii Mkuu Dr Mwanzilishi Wa Manabii Mh Geor Davie.
 
Akihubiri jioni hii kupitia kituo cha television cha Channel Ten jioni ya leo , nabii huyu amewambia wahumini wake kuwa anamjua rais wa awamu ya tano ajaye katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwakani. Lakini pia amesema awezi kumtaja kwa sasa kwani anaheshimu Katiba ya nchi ya kuwa rais anapatikana kwa kupigiwa kura na wananchi.

RAI.
Wale magwiji wanaoufukuzia urais aswa wale wa ccm wawasiliane na nabii huyu.

Wameanza waseme tena ni chaguo la Mungu, waache kuchanganya watu
 
Back
Top Bottom