Na ulaji ule ni dhahiri hamna kitu pale

Na ulaji ule ni dhahiri hamna kitu pale

Amewahi kutokea wapi 'fighter' anayependa chakula kama huyu?!!! Anayekula mpaka anataka kupasuka?!!! Mi sielewi elewi tu.

Nawasilisha Huku nikiwa na Imani mliotembea na kusoma mtanielimisha. Binafsi sijawahi kuwa na jambo nyeti la kulishughulikia halafu nikawa mfakamia chakula kiasi kile.
Jamaa kanyooka na anaeleza history ya kudai katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi nk,Ndio haya yamefanya iwe chanzo cha mauaji ya 29oct,Tulia utajua mengi ya serikali Yako ya mboga mboga!
 
Lisu endelea, naona wanatafutana mara ooh hajui kujitetea, mara ooh anapoteza muda, baada ya uozo kuanza kuwekwa hadharani watakimbia mmoja baada ya mwingine wakuachie mahakama,mtavirugana mpaka mkome na amesema muwe wavumilivu maana na yeye kuvumilia mwaka na miezi mitano wiki mbili zisiwe nyingi kwenu, mpaka mseme, hapo bado hamjasema
 
😅😅Huyo hamna kitu ,anapenda ubishi ila uwezo wake wa kawaida sana ...Naona anapuyanga sana ,kusini hawana time naye .
Tulia akojoe ushazamishiwa mzgo ,maana ameanza na good character tuu hapo unaruka juu kua azamishe yote haraka haraka unataka kuondoka
 
😅😅Huyo hamna kitu ,anapenda ubishi ila uwezo wake wa kawaida sana ...Naona anapuyanga sana ,kusini hawana time naye .
Mbona ameeleweka sana tu, hata wewe umemuelewa sana, ila umekusudia kupotosha.

Amesema amekamatwa, ameshitakiwa, amesingiziwa kesi za kisiasa tu na hana uhaini wowote,, na kisa ni uchaguzi mbovu.

Kipi usichoelewa. Na kwa kujenga hoja yake ametoa historia ya mara ngapi amekamatwa na kuachiwa na hata mkataka na mkajaribu kumuua.
 
Unalia ,msekule wa Lissu hata utiwe kidole unasifia tu ...Angalia wenzie wameshaona hamna kitu hapo ,analeta stori za vijiweni.
Bora yeye ni msukule wa lissu big brain product ya special school Illboru sec kuliko ww mfuasi mwandamizi wa kilaza form four failure wa kizimkazi...umeona tofauti hapo?!.
 
Jamaa pale kapuyanga ,yaani anaenda nje ya mada
.Sijaona professionalism kabisa ,jamaa anatafuta public sympathy hapo analeta stori, anatia huruma sana .
Anaweka record sawa kwanini yuko pale, na uhalisia wote tunaouna. Kwa sehemu kubwa ww ulizoea hila kunyamaziwa na watu kusema hewala bwana. Vumilia kusikiliza hata usichopenda. Kupitia kesi hiyo anaweka wazi uchafu wote unaondelea kwenye mifumo yetu, na anachokisema Kiko wazi kwa kila mtu, kuanzia anayemchukia hadi anayempenda.

Wapuuzi kabisa, jamuhuri inajifanya inajali muda ukweli unapowekwa wazi, lakini haijali muda wa uharibifu wanaoufanya kwenye nchi hii kupitia watawala majizi. Hadi hapo kafanikiwa kuonyesha hiyo ni kesi ya kisiasa yenye lengo la kulinda majizi. Hukumu aamue Samia isiyoendana na ushahidi, maana pia alipata kura 31m ambazo hakukuwa na hao wapiga kura vituoni.
 
Wewe fala eti wanaweka Tv ,sema wapi wanaweka 😅😅kwa hiyo Kusini kote waache kazi waangalie ujinga ,huku kusini hawafuatilii ujinga...Kijana achana kusambaza uchawa wa watu ,waache wafanye maisha yao...😅Msekule wa Lissu una tabu sàna.
Huko kusini si ndio wamejaa masikini hawajui lolote linaloendekea zaidi ya kuburuzwa? Yaani wala usijisifie huko maana Bado mko usingizini.
 
Nimekuuliza swali jepesi umewahi kukaa sehemu zote kusini? Na kwakuwa ukiwa cccm lazima uwe muongo inawezakana hata kusini kwenyewe haujawahi kufika
😅😅Acha uongo kusini hakuna CHADEMA ,nimeishi Mtwara ,lindi ...Mtwara nimekaa ligula mnarani ,baadaye nimeishi maeneo ya Mbae kwa mzungu ,huko mjini Kote nimefika sana...Wanaweka Tv ila huku watu wanapenda mpaka mpaka jezi ndiyo nguo zao za sikukuu ...Nimefanya kazi ya kuandika watu mambo ya NIDA kituo cha Mbae Mwisho ,karibu na msikitini pale ,kuna uwanja wa mpira.
 
Anaweka record sawa kwanini yuko pale, na uhalisia wote tunaouna. Kwa sehemu kubwa ww ulizoea hila kunyamaziwa na watu kusema hewala bwana. Vumilia kusikiliza hata usichopenda. Kupitia kesi hiyo anaweka wazi uchafu wote unaondelea kwenye mifumo yetu, na anachokisema Kiko wazi kwa kila mtu, kuanzia anayemchukia hadi anayempenda.

Wapuuzi kabisa, jamuhuri inajifanya inajali muda ukweli unapowekwa wazi, lakini haijali muda wa uharibifu wanaoufanya kwenye nchi hii kupitia watawala majizi. Hadi hapo kafanikiwa kuonyesha hiyo ni kesi ya kisiasa yenye lengo la kulinda majizi. Hukumu aamue Samia isiyoendana na ushahidi, maana pia alipata kura 31m ambazo hakukuwa na hao wapiga kura vituoni.
Hamna kipya hapo ni ngonjera
 
Bora yeye ni msukule wa lissu big brain product ya special school Illboru sec kuliko ww mfuasi mwandamizi wa kilaza form four failure wa kizimkazi...umeona tofauti hapo?!.
Msekule na lissu hajawahi kuongoza nchi 😅😅Familia yake iko nje ya nchi.
 
😅😅Acha uongo kusini hakuna CHADEMA ,nimeishi Mtwara ,lindi ...Mtwara nimekaa ligula mnarani ,baadaye nimeishi maeneo ya Mbae kwa mzungu ,huko mjini Kote nimefika sana...Wanaweka Tv ila huku watu wanapenda mpaka mpaka jezi ndiyo nguo zao za sikukuu ...Nimefanya kazi ya kuandika watu mambo ya NIDA kituo cha Mbae Mwisho ,karibu na msikitini pale ,kuna uwanja wa mpira.
Binti unagoogle ndio maana nikakuambia wewe kichwani ni mtupu hivi unajua mkoa wa mtwara kuanzia jimbo la mtwara mjini,mtwara vijijini,tandahimba,ndanda upinzani ushawahi kuchukua hayo majimbo? Na hata jimbo la newala kulishawahi kutokea kichekesho mwaka 2015 ambapo lowasa alipata Kura nyingi mno kuliko magufuli na madiwani madiwani wa upinzani wakawa wengi mno kuliko wa vcccccm ila chakushangaza mkuchika akatangazwa kuwa kashinda tena mbele ya mabomu....je haya uliyajua binti yangu?
 
Wapi wewe nimeishi hapo ,naishi hata nikikupa cheti changu cha kuzaliwa utanielewa ...Bado mdogo halafu mshamba sana ,nimekaa hapo sana ,mpaka Mbae kwa mzungu pale alikuwa anaweka disco toto ...Sijui utaniambia nn kijana ,

Hakuna CHADEMA labda wewe chawa ,hakuna huko kabisa ,acha ushamba wako ...Nimeokota sama viokolo ,kumbwa huko ..Yaani huko hamna chadema ,watu wanapenda mpira kuliko kula.
 
Ndio maana nikakuambia akili zako ni chache nimekueleza hayo ambayo yapo na yalishatokea shahidi wa hilo ni huyo Joel nannauka kwasababu huku ni kwao na alishawahi kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema 2015
 
Bado we ni zwazwa ,yaani huku hakuna ni CCM kama kote tangu ndugu yao Mkapa mpaka leo...Umeanza urongo ,eti wanaangalia Tv kumuangalia Lissu ,unaumwa wewe fala😅😅😅.

Mshamba chawa wa CHADEMA unapeleka shombo kwenye mikoa ya watu.
 
Hiyo mtwara mjin unayoiona hata mumeo kikwete anaijua hiyo ni ngome ya upinzani na ishatoa mbunge wa upinzani 2015 binti.....jifunze vitu usikurupuke kwahali hiyo utashindwa kuolewa wanaume tunahitaji mwanamke mtiii ...mwaka 2025 mkoa wa mtwara ulitoa wabunge 3 wa upinzani yaani mtwara mjini,,,Ndanda na tandahimba.....na jimbo la newala japo alitangazwa mbunge wa vcccccm ila halmashauri iliundwa na madiwani wa upinzani
 
Back
Top Bottom