Na ulaji ule ni dhahiri hamna kitu pale

Na ulaji ule ni dhahiri hamna kitu pale

Hiyo mtwara mjin unayoiona hata mumeo kikwete anaijua hiyo ni ngome ya upinzani na ishatoa mbunge wa upinzani 2015 binti.....jifunze vitu usikurupuke kwahali hiyo utashindwa kuolewa wanaume tunahitaji mwanamke mtiii ...mwaka 2025 mkoa wa mtwara ulitoa wabunge 3 wa upinzani yaani mtwara mjini,,,Ndanda na tandahimba.....na jimbo la newala japo alitangazwa mbunge wa vcccccm ila halmashauri iliundwa na madiwani wa upinzani
Acha uongo wako ,Mtwara sasa ni Nanauka ,yaani mpaka ndugu yangu ni kiongozi hapo ,nenda kwenye baraza la madiwani ukaone tu...Nimekaa hapo ,napajua ni sehemu ambayo CCM inafunga mziki muda wowote ,pale mwisho kuna vibada vimepewa mpaka TV ,vibanda vya fundi baiskeli.
 
Back
Top Bottom