Na Mvua Hizi Ntawakamata Wengi....!!!

Na Mvua Hizi Ntawakamata Wengi....!!!

... Mmh!
Kwa hiyo heading ya thread lazima utukamate wengi mkuu.
Hivi hao wadudu huwa wanakamatwa au wanabakwa au wanashikwa!?
 
Nimerudi home mida hii, naona eti dada wa kazi kakamata hao insects kibao..ameingia jikoni, akakarangiza, ataka kula...watoto wangu wametamani. Nikampiga marufuku...nikamwambia "kula mwenyewe". Hivi ni chakula ama takataka hao wadudu?

Acha fiksi kaka....

Hii kitu tamuu
c4c65c2e1fL.jpg
 
Niliposoma heading nikajiuliza mvua ime stimulate nini, mbona hamna baridi? Kumbe kumbikumbi waitu!
 
Nasema ivii hakuna mdudu mtamu kama kumbi kumbi .
 
nimerudi home mida hii, naona eti dada wa kazi kakamata hao insects kibao..ameingia jikoni, akakarangiza, ataka kula...watoto wangu wametamani. Nikampiga marufuku...nikamwambia "kula mwenyewe". Hivi ni chakula ama takataka hao wadudu?
anko hilo ni bonge la lishe yaani
 
Ah sijawahi kula kumbikumbi..labda mpaka niandikiwe na daktari...
 
hao wadudu ni najisi kwamujibu wa BIBLIA Mambo ya Walawi 11 : 20 - 23. Tena vyote vitambaavyo vyenyemabawa viendavyo kwa miguu minne hivi ni machukizo kwenu,

have you read what Jesus told Peter?
"what G O D has created you shall not call unclean" ACTS 10
 
umenikumbusha mbali sanaaa watamu sana hawa kumbi kumbi
 
Ah sijawahi kula kumbikumbi..labda mpaka niandikiwe na daktari...
Kuna maeneo hapa Tanzania hayakaliwi na kumbikumbi kwa sababu ya udongo wake. Je sister, hujala kwa sababu hawapatikani sehemu unayotoka au huwapendi tu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom