Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,903
- 829
we acha utundu......sometimes chotara wanakuwaga watamu kuliko origino...in some rare cases...Hivi chotara wanakuaga watamu zaidi kuliko ile kitu orijino?
we acha utundu......sometimes chotara wanakuwaga watamu kuliko origino...in some rare cases...Hivi chotara wanakuaga watamu zaidi kuliko ile kitu orijino?
Umesha wahi kuwala wewe hawa wadudu?kitu ya natural protein...
Hawa ni Senene jamani kwa lugha yako unawaitaje?
Wameambiwa wayahudi kwani wewe ni myahudi?hao wadudu ni najisi kwamujibu wa BIBLIA Mambo ya Walawi 11 : 20 - 23. Tena vyote vitambaavyo vyenyemabawa viendavyo kwa miguu minne hivi ni machukizo kwenu,
kumbe kuna mpaka namna ya kulaNitakuelekeza namna ya kula basi....
we ushazoea minofu tu bishosti.....Toba weeee hadi hivi vidudu vinaliwa!
Nimerudi home mida hii, naona eti dada wa kazi kakamata hao insects kibao..ameingia jikoni, akakarangiza, ataka kula...watoto wangu wametamani. Nikampiga marufuku...nikamwambia "kula mwenyewe". Hivi ni chakula ama takataka hao wadudu?
Mimi nimesha wala sana hawa wakati nipo mtoto mdogo miaka 40 iliyopita. Wewe kama huwakuli basi hujafaidika kabisa.yaani hawa wadudu ndo senene!? afadhali mie siwakuli
hata mimi mkuu!Nimetoka kuwala muda si mrefu..
Nilikosea kuandika jina si unajuwa tena mambo ya keyboard unaweza kuandika sivyo kumbe ndivyo na unaweza kuandika ndivyo kumbe sivyo Verse by Versehawa sio senene aisee ni kumbikumbi mzizi
kwetu songea kwa kingoni wanaitwa mbulika.
mkuu mvua ikinyesha wanapatikana popte tuu!daaa hapa dar sijui wanapatikana wapi jamani maana daaaa hawa KUMBIKUMBI ni watam sana unawakaanga kidogo then na chumvi pilipili unawa unga mbona lazima mshikane mashati
Mimi nimesha wala sana hawa wakati nipo mtoto mdogo miaka 40 iliyopita. Wewe kama huwakuli basi hujafaidika kabisa.
Hawa ni Senene jamani kwa lugha yako unawaitaje?
Mi nimemaanisha chotara kumbikumbi lakini!!we acha utundu......sometimes chotara wanakuwaga watamu kuliko origino...in some rare cases...
Miaka 40 ilopita bado unakumbuka ladha yake...Naona wanasifiwa sana itabidi na mm nionje...Lkn ukitafuna ule utumbo/ mweupe wanaokuwa nao insects inakuwaje unauhisi mdomoni 😕Mimi nimesha wala sana hawa wakati nipo mtoto mdogo miaka 40 iliyopita. Wewe kama huwakuli basi hujafaidika kabisa.