Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,956
- 110,449
Mi sijawahi kabisa!!!
watamani kujaribu siku moja?
Mi sijawahi kabisa!!!
blaza mwongo sana!Acha fiksi kaka....
hilo nilimelipenda mkuuNywa! ndio jina la kikwetu hatari sana hao
Labda naweza kufikiria hilo!!watamani kujaribu siku moja?
Hahaha....nimewala nikiwa mdogo, ukubwani sidhani kama nishawahi kula.
Ahahaahah! mkuu bana!Masibotha;
Kwa wale ndugu zetu wa Mkoa husika
Labda naweza kufikiria hilo!!
mimi pia.....ila niliwala usiku wa kuamkia leo kwenye ndoto.....hivi Dr sio kwamba nilikuwa nalogwa........?.....kumbikumbi usingizini jamani......
Hawa ni Senene jamani kwa lugha yako unawaitaje?
Hahaha...Dr hiyo ndoto yako maana yake utabarikiwa chakula kingi kama wingi wa kumbikumbi na utakula hadi kusaza....
Sijui nimepatia Dr...!!!