Na Mvua Hizi Ntawakamata Wengi....!!!

Na Mvua Hizi Ntawakamata Wengi....!!!

Miaka 40 ilopita bado unakumbuka ladha yake...Naona wanasifiwa sana itabidi na mm nionje...Lkn ukitafuna ule utumbo/ mweupe wanaokuwa nao insects inakuwaje unauhisi mdomoni 😕
Wanakuwa ni watamu sana unawakaanga hao kwa moto bası unakula kam unavyokula kamba kochi wana raha sana kuliwa hao jaribu utaona.
 
Dr hiyo makitu ya ice cream inabidi iwe kikweli kweli wala isije kwa ndoto heheh!!

mmmmh......naomba iwe hivyo......ila hiyo yenye kumbix2 Dr.....ingekuwa ice cream basi au........black forest gateau........
 
Hawa ni Senene jamani kwa lugha yako unawaitaje?

Umechemsha, hao si senene hao ni kumbikumbi, senene ni hawa:

senene.jpg

Kabla ya kukaangwa
 
mimi pia.....ila niliwala usiku wa kuamkia leo kwenye ndoto.....hivi Dr sio kwamba nilikuwa nalogwa........?.....kumbikumbi usingizini jamani......

Ha ha ha ha ha haaaaaa,ushalishwa nywele tayari.
 
Hahhahahahaha mwenzangu kila nkifungua picha pua yaniwashaaaa....nahisi kama wataka kuingia puani lol....mwanzo nkafikiri nyuki...
ni nyuki wa mwakani si unajua matokeo makubwa sasa
 
hawawi wote wana wa Ibrahimu walio wana wa Islaeli bari walio wa ahadi, Ibrahimu alipewa ahadi kuwa watu wa mataifa ote wataitwa kwa jina lako, mi ni Muyahudi wa kiroho

Eti Myahudi wa kiroho ndio maana badala ya kuandika "bali" unaandika "bari"
 
Back
Top Bottom