donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Hivi chotara wanakuaga watamu zaidi kuliko ile kitu orijino?Halafu hawa chotara, watakuwa watamu zaidi hahahaaaaa
Hawa ni Senene jamani kwa lugha yako unawaitaje?
Kumbikumbi!!Hawa ni Senene jamani kwa lugha yako unawaitaje?
Hawa ni Senene jamani kwa lugha yako unawaitaje?
Nilijua tu lazima ungepitia pande hizi!!Hio kitu raha yake ule kama popcorn 😛opcorn:kitu ya natural protein...
Nilijua tu lazima ungepitia pande hizi!!Hio kitu raha yake ule kama popcorn 😛opcorn:
sanaaa mkuuwadudu watamu hao..
Hahaha....nimewala nikiwa mdogo, ukubwani sidhani kama nishawahi kula.
Nimerudi home mida hii, naona eti dada wa kazi kakamata hao insects kibao..ameingia jikoni, akakarangiza, ataka kula...watoto wangu wametamani. Nikampiga marufuku...nikamwambia "kula mwenyewe". Hivi ni chakula ama takataka hao wadudu?
ukiacha taa on mpaka chumban mkuu wanazama!dah tena wanaingia mpaka ndani