Na Mvua Hizi Ntawakamata Wengi....!!!

Na Mvua Hizi Ntawakamata Wengi....!!!

Kuna maeneo hapa Tanzania hayakaliwi na kumbikumbi kwa sababu ya udongo wake. Je sister, hujala kwa sababu hawapatikani sehemu unayotoka au huwapendi tu?

Siwapendi tu..
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1386429862991.jpg
    1386429862991.jpg
    35.6 KB · Views: 161
Siwezi kula Mchwa wala Panzi
Adharusi, shirika la afya duniani (WHO) limebaini kwamba tatizo kubwa la watu wengi duniani ni
upungufu wa kiini lishe kiitwacho 'protein' Si ajabu wewe bila kufahamu una upungufu wa kiini lishe hiki.WHO inasema hivi:Njia rahisi ya kutatua upungufu wa protein kwenye miili yetu ni kula wadudu kwa wingi, wakiwemo hao kumbikumbi na nsenene. Labda wewe una source nyingine ya protein nje ya hawa wadudu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom