Na Mvua Hizi Ntawakamata Wengi....!!!

Na Mvua Hizi Ntawakamata Wengi....!!!

Nimerudi home mida hii, naona eti dada wa kazi kakamata hao insects kibao..ameingia jikoni, akakarangiza, ataka kula...watoto wangu wametamani. Nikampiga marufuku...nikamwambia "kula mwenyewe". Hivi ni chakula ama takataka hao wadudu?

Aaah mkuu, umewanyima watoto uhondo.....Ni wazuri tu kwa anayeweza kuwala, mimi ni mmoja wa watu tuliokula sana utotoni...Ila sasa hivi siwezi hata kuwaangalia kwenye sahani...
 
Kikwetu tunaita. Nnywa au swevele(kumbikumbi)
 
Uwapatie na ugali wa dona ...............utajilamba.

Ila bana akina farkhina hawakawii kwenda JF Chef na thread......"Biriani la kumbikumbi"
charminglady walikufanyaje siku ya graduation?

hahahaa...... Cheka mno aisee!! Et Biariani la kumbikumbi

Duh... We wacha kabisa, sitasahau!! Ngoja nikipata muda nitakusimulia
 
Nimerudi home mida hii, naona eti dada wa kazi kakamata hao insects kibao..ameingia jikoni, akakarangiza, ataka kula...watoto wangu wametamani. Nikampiga marufuku...nikamwambia "kula mwenyewe". Hivi ni chakula ama takataka hao wadudu?

usijishauwe! wenzio tunakula we unaita takataka!
 
'Obushwa" kwa wenyewe huko wanajua mpka namna ya kuwachambua.
 
Mi nlijua uyo dogo Don atawakamata madem.bana....kumbe kumbi kumbi...hivi hili ni jukwaa gani?

Cc Asprin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom